Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna mtu hapaswi kuwa kwenye vyeo vya kisiasa basi ni Askofu Gwajima. Huyu mtu ni toxic. Amewapumbaza waumini wake vibaya sana, huwa wanakaa na maiti hadi siku 3 wakiamini Gwajima atawafufua. Halafu anafanya biashara ya madawa ya kulevya.Moja ya hoja za hovyo kabisa. Wewe kama unaogopa kufa kwa Corona ni wewe nenda kachanjwe. Hoja alizotoa Bishop Gwajima zinamashiko, taifa haliwezi kufanyiwa majaribio aisee tumekuwa manyani sisi. Thubutu
Gwajima hana data ambazo ni authentic zaidi ya consipiracy theories tu zilizopo miaka yote.Uko sawa na chanjo pia ni biashara ya mabilioni hivyo iwe inafaa au haifai watengenezaji wanao uwezo kufanya kampeni kwa kulipa watu wa kariba mbalimbali wenye kuaminiwa na jamii kufanya ushawishi kufanikisha jambo lao hizi ni rasha rasha mvua inakuja usije shangaa vifo vya ajabu vikaanza kutokea Kuitia hofu jamii ili kusukuma ajenda yao
Mimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..
FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...
Askofu Gwajima amesema hapingi chanjo bali anatoa tahadhari kuhusu aina ya chanjo, teknolojia iliyotumika na muda uliotumika kutengeneza chanjo za covid ukilingsnisha na chanjo za magonjwa mengine ambazo zinachukua hadi miaka 8 kukamilika.Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona.Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni.India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil,Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja.wameshusha hadi grade 1.Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo?Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia,wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi,na utaifishaji wa mali.analijua hilo?Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #Kazi iendelee.
Wewe akili hauna Corona imemuondoa Maalim seifu ila sioni humu kulisema hilo au nae alikuwa na mawazo ya kijima?Mawazo ya kijima.
Ndiyo maana watu kama nyinyi korona ndiyo inaanza na nyinyi hadi mtakwisha
Una mdomo mrefuu..!Kama kuna mtu hapaswi kuwa kwenye vyeo vya kisiasa basi ni Askofu Gwajima. Huyu mtu ni toxic. Amewapumbaza waumini wake vibaya sana, huwa wanakaa na maiti hadi siku 3 wakiamini Gwajima atawafufua. Halafu anafanya biashara ya madawa ya kulevya.
Mwendazake ametuletea disaster kwa kuwaweka hawa bungeni
Lissu akitetea haki za mashoga kwamba ni jambo la faragha anaonekana ni msomi ila sasa ajabu Gwajima anashambuliwa na kuitwa mcheza porn, Mbowe anajulikana ambaye ni mlevi na malaya ila ukisema hayo unaambiwa ni mambo yake binafsi.Nyinyi ndio wale mnaosema hata shoga akiwa kiongozi sawa tu
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona.Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni.India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil,Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja.wameshusha hadi grade 1.Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo?Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia,wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi,na utaifishaji wa mali.analijua hilo?Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #Kazi iendelee.
Watu wanapaswa kujua kuwa pharmaceutical cartels wananguvu sana hapa duniani. Magonjwa mengi yanayoisumbua dunia ni genetically engineered na hawahawa jamaa. Haingii akilini Covid-19 ilijitokeza mwisho wa 2019 ndani ya mwaka mmoja chanjo imeshagunduliwa na mataifa yanashinikizwa kuitumia. Kuna nchi mbalimbali zikiwepo za Ulaya wamesitisha matumizi ya baadhi ya chanjo baada ya either Kugundua kuwa zinamadhara au hazifanyi kazi iliyokusudiwa.Uko sawa na chanjo pia ni biashara ya mabilioni hivyo iwe inafaa au haifai watengenezaji wanao uwezo kufanya kampeni kwa kulipa watu wa kariba mbalimbali wenye kuaminiwa na jamii kufanya ushawishi kufanikisha jambo lao hizi ni rasha rasha mvua inakuja usije shangaa vifo vya ajabu vikaanza kutokea Kuitia hofu jamii ili kusukuma ajenda yao
Kwani anajadiliwa Mbowe au Lisu hapa?Lissu akitetea haki za mashoga kwamba ni jambo la faragha anaonekana ni msomi ila sasa ajabu Gwajima anashambuliwa na kuitwa mcheza porn, Mbowe anajulikana ambaye ni mlevi na malaya ila ukisema hayo unaambiwa ni mambo yake binafsi.
Sasa nashindwa hata kuelewa.
Mbona umeandika bandiko kubwa ,la kumshutumu Gwajima.Lakin ndani hakuna hoja za msingi zaidi ya uchafu tupu.Gwajima amejenga hoja za msingi,ulitakiwa kuzijibu na kutuambia kama ni za uongo.Napata mashaka kwamba una ka NGO kako umekaandaa ili upige dili kupitia hizo chanjo.Jaribu kusoma majarida ,Journal mbalimbali ili ukishitumu MTU ,unatumia evidence. Sio uchafu tu wa kusikia.Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona.Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni.India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil,Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja.wameshusha hadi grade 1.Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo?Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia,wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi,na utaifishaji wa mali.analijua hilo?Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #Kazi iendelee.
Mbowe ni mfanyabiashara na Lissu ni mwanasheria, mkileta masuala binafsi ya mtu basi pia huwezi kukataa kuzungumzia masuala binafsi ya ulevi na umalaya wa Mbowe. Mgejikita kwa yale aliyoyaongea Gwajima ila badala yake mnazungumzia mambo yake ya faragha kitu ambacho hata wakili msomi Lissu huwa anakipinga.Kwani anajadiliwa Mbowe au Lisu hapa?
Lazima ushindwe kuelewa kama umeshindwa kujikita kwenye mada.
Lisu ni mwanasiasa
Mbowe ni mwanasiasa
Gwajima ni mtumishi wa Mungu ambaye ameamua kuwa Malaya Malaya kingono na kisiasa kwanini tusiseme?
Mtumishi wa Mungu unaacha mke ndani unaenda kununua Malaya tena unajirecord kabisa huo si uwendawazimu?
Kawaulize chatoCorona ya nchi gani?
Wewe na jiwe na huyo Gwajima akili zenu sawa na subirini lwang'oe mmoja mmojaCHANJO itakusaidia nini?
hivi nyie mngekuwa mnakufa kama wenzenu mngesemaje?
Huko wenzenu Wana chanjo na bado wanakufa.
Mchina akikaa chini akatengeneza kirusi uje ukidhibiti na chanjo zako mshenzi?
Watu wanajua wanachofanya.
MSIKURUPUKEView attachment 1781498
Hizo ni akili za ki lucifa yaani mnafurahia Tanzania ikitumbukia kwenye matatizo ya kama ya Kenya au India ndiyo mtafurahi maana mtakuwa mmepata damu za kafara.Nadhani askofu alitoa angalizo la kuwa nchi ijiridhishe na hizi chango kabla ya kuruhusu kutumika nchini. We cant be Guinea pigs. Baadhi ya hizi chanjo zimeshaonekana kuleta madhara na hata vifo. Kitaalamu chanjo hufanyiwa tafiti za muda mrefu ili kubaini post effects, ni dhahiri hizi za Covid-19 hazijafanyiwa tafiti za kutosha. Kupata chanjo bado ni hiyari ya mtu lakini Niungane na askofu kuitaka serikali kuwa makini.
Huyo subwoofer tangu alazwe India naona kuna baadhi ya nuts walizisahau kuzirudishiaSpika ndio anampa nafasi ya kupotosha umma