#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Watanzania mnapenda Sana kufuata upepo.hivi kama mngekuwa mnakufa kama wenzenu mngesema nini?
Sio kila kitu NI cha kujaribu.vingine viacheni vipite
Chanjo tutachoma,Wasukuma msichanjwe kumuenzi Magu😎
 
Sijakataa mkuu,lakini hii imeharakishwa, kuna mtandao inaitwa VAERS Marekani ,unaripoti matatizo yoyote yanatokana baada ya kupata chanjo ya pili ya Covid,kwakweli cases za mle zinasikitisha, kuanzia watu kuparalyze kbsa, mpka wajawazito kupoteza mimba zao,mpka wanawake kupata hedhi zisizoeleweka, na watu wenye miaka 25 kupata heart attacks..Data kamili na efficiency za hizo chanjo zitatoka 2023,kwanini tusisubiri,lkni wanaotaka kuchukua wakachomwe ,ila ku-mandate hizo chanjo kwa kila mTanzania bado kwa kweli... Also Pfizer Wana historia mbaya, walishawahi kupigwa faini ya dola million mia tatu kwa kuidanganya serikali kuhusu moja ya dawa zao in the early 90s
Kawadanganye wanao na mkeo na shemeji yako.

Sisi watanzania tutaipata hiyo chanjo wewe kama hutaki utakwenda na mwera tu maana hauna faida kwa taifa.
 
Sijakataa mkuu,lakini hii imeharakishwa, kuna mtandao inaitwa VAERS Marekani ,unaripoti matatizo yoyote yanatokana baada ya kupata chanjo ya pili ya Covid,kwakweli cases za mle zinasikitisha, kuanzia watu kuparalyze kbsa, mpka wajawazito kupoteza mimba zao,mpka wanawake kupata hedhi zisizoeleweka, na watu wenye miaka 25 kupata heart attacks..Data kamili na efficiency za hizo chanjo zitatoka 2023,kwanini tusisubiri,lkni wanaotaka kuchukua wakachomwe ,ila ku-mandate hizo chanjo kwa kila mTanzania bado kwa kweli... Also Pfizer Wana historia mbaya, walishawahi kupigwa faini ya dola million mia tatu kwa kuidanganya serikali kuhusu moja ya dawa zao in the early 90s
Percentage waliopata complication ni insignificant. Kwa baadhi yetu hata panadoli inasababisha side effects. Msipotoshe Watanzania.
 
Ilibidi iharakishwe Mkuu kwa sababu ya maambukizi makubwa na vifo idadi kubwa vya kutisha ambavyo havijawahi kutokea duniani kwa zaidi ya miaka mia. Ndani ya miezi 16 zaidi wa watu milioni 3 wamekufa katika nchi nyingi duniani. Ni kweli ile chanjo ya AstraZeneca ina matatizo kwani inasababisha blood clot na katika baadhi ya nchi kuna watu wamepoteza maisha na wote ni wanawake baada ya kupata chanjo hiyo na hivyo kusababisha baadhi ya nchi kuipiga marufuku chanjo hiyo au kutolewa kwa watu wa kuanzia miaka 60, lakini Pfizer na Moderna ziko bomba na zimesaidia sana katika kuleta matumaini makubwa sana katika kukishinda hiki kirus hatari sana kupata kutokea duniani.

Sijakataa mkuu,lakini hii imeharakishwa, kuna mtandao inaitwa VAERS Marekani ,unaripoti matatizo yoyote yanatokana baada ya kupata chanjo ya pili ya Covid,kwakweli cases za mle zinasikitisha, kuanzia watu kuparalyze kbsa, mpka wajawazito kupoteza mimba zao,mpka wanawake kupata hedhi zisizoeleweka, na watu wenye miaka 25 kupata heart attacks..Data kamili na efficiency za hizo chanjo zitatoka 2023,kwanini tusisubiri,lkni wanaotaka kuchukua wakachomwe ,ila ku-mandate hizo chanjo kwa kila mTanzania bado kwa kweli... Also Pfizer Wana historia mbaya, walishawahi kupigwa faini ya dola million mia tatu kwa kuidanganya serikali kuhusu moja ya dawa zao in the early 90s
 
Wenzenu WANAKIMBIA kufanywa majaribio ya chanjo.
ILA sababu ya ujuaji wenu mnaililia chanjo.
Hivi wewe ukililia chanjo na MUHINDI huko India alilie nini?
Chanjo tutachoma,Wasukuma msichanjwe kumuenzi Magu[emoji41]
Screenshot_20210512-040919.jpg
 
watanzia tuna shida sana! mpinge mtu kwa hoja na utaalamu... jambo la kitaalumu linapingwa na mtu asiyekuwa na taaluma yoyote. utakuta biology alikuwa anapata 3% ila hapa anaandika utafikiri hata hiyo DNA anaifahamu. tuache upuuzi jamaa ameongea jambo la maana sana.
 
Kucheza pono ndio kuondoa fikra chanya , mbona kacheza pono na kawa mbunge unaweza weka chuki na usielewe anachosema kwa chuki binafsi na bado ukawa haumzidi maisha.
Nani alimchagua Gwajima kuwa Mbunge mlisex masanduku ya kura. Mungu alichokiamu ni kikubwa sana. Uchaguzi uje leo huyo tapeli wako wa dini hata kura 5 hapati.
 
Back
Top Bottom