Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
huyo ni mpuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninachokiongea ninakifahamu wala sipotoshi...ninavosema kuna studies zimelink matatizo ya ASD na chanjo tofauti tofauti, siongei kwa kuotea.. one of the biggest advocates against haya mambo ni Robert Kennedy Jr,aliwahi kukusanya wamama zaidi ya 20 wenye watoto wenye ASD kwenda kwa then president-elect Trump walitaka kuishtaki kampuni moja iliyowafanyia trial za chanjo wakisema imewaletea watoto wao matatizo..ilipoishia sijui...Studies zipo sema wanasayansi wengi hawapendi kusikia na wanasema zimekua debunked with the help of the media,they suppress them as myths...Ni kama kipindi kuhusu mambo ya Hydroxychloroquine kwenye kutibu corona, kwa ikitumika mapema kwenye wagonjwa wa covid inaweza ikasaidia,,ilipigwa vita sana lakini baada ya kupata chanjo ndo wakaanza kusema studies zilikua na Ukweli..so haya mambo kwa sababu either ya siasa au biashara hua yanasababisha taharuki ya kutokueleweka....Kutokana na huyu virus anavyobadilika kila wakati lazima trial itaendelea mpaka kupata ile inayo weza cover mutation zote,so hakuna sababu ya kusubili why tusijikinge kuzuia mutation maana ubishi wa kutojikinga ndo utasababisha mamutation ya huyu virus kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine so trial itaendelea ila Sio kwamba chanjo iliyopo kwa Sasa Sio effective
Pili dunia hii ikiwemo tanzania hakuna kipya ,unaposema AUTISM SPECTRUM DISORDER(ASD) ni moja ya mental illness( psychiatric) ni matatizo ambayo Sio kwamba yanapatikana nje tunayo pia ,na je nayo yameletwa na chanjo ya corona, nenda psychiatric unit , kubwa utaambiwa ,tusipende challenge vitu ambavyo vipo juu ya fikra zetu tunafanya upotoshaji katika jamii
Kweli lakini ninachoomba kuwe na open dialogue bungeni,tue skeptical kidogo,kuna watu humu walikuja spidi na kumuita mcheza porno, baada ya kumjibu hoja yake.hofu yangu ni hizo side effect zikitulipukia sisi hapa ,hakuna mtu atakayetusaidia..mi binafsi nina watu wengi nawajua wako fine baada ya kupokea covid shots, kuna wagonjwa wangepona hii chanjo ingekuja mapema, na pengine kuna watu watakufa baada ya kupokea hii kitu..Hizi serikali zetu ziko ki-statistics zaidi, watu 20 kati ya milioni wakifa baada ya kupokea mzigo ,watasema hyo ni success rate kubwa, mimi hofu yangu ipo kwa sisi/hao 20..ninachopendelea ni kila mtu apewe hasi na chanya ya kitu,sio kupinga tu kwasababu za kisiasaIlibidi iharakishwe Mkuu kwa sababu ya maambukizi makubwa na vifo idadi kubwa vya kutisha ambavyo havijawahi kutokea duniani kwa zaidi ya miaka mia. Ndani ya miezi 16 zaidi wa watu milioni 3 wamekufa katika nchi nyingi duniani. Ni kweli ile chanjo ya AstraZeneca ina matatizo kwani inasababisha blood clot na katika baadhi ya nchi kuna watu wamepoteza maisha na wote ni wanawake baada ya kupata chanjo hiyo na hivyo kusababisha baadhi ya nchi kuipiga marufuku chanjo hiyo au kutolewa kwa watu wa kuanzia miaka 60, lakini Pfizer na Moderna ziko bomba na zimesaidia sana katika kuleta matumaini makubwa sana katika kukishinda hiki kirus hatari sana kupata kutokea duniani.
Ukisema insignificant , una maana gani, kwahiyo maisha ya mtu ni insignificant!! Kwani ku-exercise caution kwenye hii kitu ni kitu kibaya...Percentage waliopata complication ni insignificant. Kwa baadhi yetu hata panadoli inasababisha side effects. Msipotoshe Watanzania.
HayaKawadanganye wanao na mkeo na shemeji yako.
Sisi watanzania tutaipata hiyo chanjo wewe kama hutaki utakwenda na mwera tu maana hauna faida kwa taifa.
Sijawahi hata kufikiria aise...!neva..eti sijui mwamposa n the like neverWanakuwa wanapigwa juju kuwapumbaza na usije ukakubali kwenda kwenye makanisa yao .
Walitumia chanjo za kichina badala ya zile za marekani na ulaya
Kamwe usifanye hilo kosaSijawahi hata kufikiria aise...!neva..eti sijui mwamposa n the like never
Kwahiyo wewe mtu akifa tu ni corona?Mbona ilimuondoa iyoiyo covd19 uyo mungu wenu
Sasa Maalim seifu masikini wa Mungu imempiga kwa lipi hebu tueleze? au ndio kwa sababu alikubali kile cheo cha Makamu wa kwanza wa rais?Corona inajua wapi pa kupiga
Watanzania au watu wa mitandaoni? nyie hata kwenye maandamano mnasemaga hivyo hivyo ila siku ya tukio mnasikilizia raia huko mitaani ambao hata hawakuwa wanashabikia siasa matokeo yake ndio tunaona raia wanaendelea na shughuli zao, sasa pia mtasema chanjo zije halafu zikija msitokee kudungwa.Kawadanganye wanao na mkeo na shemeji yako.
Sisi watanzania tutaipata hiyo chanjo wewe kama hutaki utakwenda na mwera tu maana hauna faida kwa taifa.
Kwani side effects za hizo chanjo wameeleza ni zipi au ndio tutajua wakati zinaendelea kutumika? Maana hili la kuganda hatukulijua ila baada ya kuanza kutumika.Percentage waliopata complication ni insignificant. Kwa baadhi yetu hata panadoli inasababisha side effects. Msipotoshe Watanzania.
Mkuu binafsi nimeuliza ASD TZ ipo au haipo na Kama ipo ni kwa sababu ya chanjo ya corona , elewa Covid vaccine inaweza kua risk factor ,Kama tuonavyo kuvuta sigara ni risk factor ya kupata cancer ila sio wote wenye cancer ni wavutaji wa sigara, zipo sababu zingine, Hivyo that's mpaka Sasa tz au dunia haijapiga marufuku uvutaji wa sigara Kama ilivyo madawa dawa ya kulevya, kwa iyo kinachopimwa kwenye matibabu yoyote ni faida kubwa kuliko madhala madogo maana hakuna dawa,au chanjo usiokua na madhara, ila kiwango Cha madhala ndo kinaangaliwa kikiwa kikubwa inakua haifai maana ni sum na mamlaka haziwezi ipitisha so mpaka mda huu Kama covid vaccine imepitishwa vigezo vimezingatiwa ,serikali tuletee tujidunge tulinde na wapendwa wetuNak
Ninachokiongea ninakifahamu wala sipotoshi...ninavosema kuna studies zimelink matatizo ya ASD na chanjo tofauti tofauti, siongei kwa kuotea.. one of the biggest advocates against haya mambo ni Robert Kennedy Jr,aliwahi kukusanya wamama zaidi ya 20 wenye watoto wenye ASD kwenda kwa then president-elect Trump walitaka kuishtaki kampuni moja iliyowafanyia trial za chanjo wakisema imewaletea watoto wao matatizo..ilipoishia sijui...Studies zipo sema wanasayansi wengi hawapendi kusikia na wanasema zimekua debunked with the help of the media,they suppress them as myths...Ni kama kipindi kuhusu mambo ya Hydroxychloroquine kwenye kutibu corona, kwa ikitumika mapema kwenye wagonjwa wa covid inaweza ikasaidia,,ilipigwa vita sana lakini baada ya kupata chanjo ndo wakaanza kusema studies zilikua na Ukweli..so haya mambo kwa sababu either ya siasa au biashara hua yanasababisha taharuki ya kutokueleweka....
100%TRUE SAID MKUU!Mimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..
FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...
Huyo mbona siyo wa kuhangaika naye mkuu ikiwa anajfanya mfufuaji na akashindwa kumfufua mtu anayejfanya kumpenda mpka kawa mwenda zake sasa kuna kazi hapoNimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.
Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.
Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.
Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni.India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.
Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.
Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.
#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
#Kazi iendelee.
Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Ni Tanzania pekee mwenye undergraduate anamuona PhD debe tupu ni Tanzania pekeeeHuyo mcheza porn asikusumbue mkuu... Ni debe tupu
Naomba with all due respect nikuambie kweupe kwamba wewe ndiye hujui kinachoendelea duniani,na siajabu umetumwa hapa na mabwana zako,the NWO cabal,kupotosha wana JF,Watanzania na dunia kwa ujumla.Alicho ongea Gwajima ni 100% correct.Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.
Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.
Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.
Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni.India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.
Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.
Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.
#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
#Kazi iendelee.
Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Huyo unamjua wewe MATAGA wa lumumba na mwana sukuma gangSasa Maalim seifu masikini wa Mungu imempiga kwa lipi hebu tueleze? au ndio kwa sababu alikubali kile cheo cha Makamu wa kwanza wa rais?