#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.

Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.

Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.

Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni.India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.

Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.

Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.

#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#Kazi iendelee.

Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Huyu jamaa anafikiri wananchi wote ni kama wale waumini wake aliowadanganya kuwa ananunu treni na wakampigia makofi. Yaaanii!
 
Anahis watz wa mwaka 2021 ni sawa wale vibwengu wake anao wadanganya kila siku
 
Sisi wazee wa Tanzania tunamwomba Rais SSH atuletee vaccine ya COVID19. Tunahiitaji sana. Magonjwa yaletwayo na virusi hayana tiba. Dawa za kinga ndiyo suluhisho. Tafadhali sana Rais wetu najua unafuatilia, sikia ombi letu
 
Kwani watu hawafi,hawagandi damu,hujasikia nchi zilizositisha chanjo sababu ya madhara yaliyotokea?
Au una mchukia tu.
tueleze basi wewe ukweli tukuamini,tutajie nchi ambayo sasa hivyi wako salama baada ya kuchanjwa? Labda Amerika hawafi baada ya kuvumbua hizo chanjo na kuwachanja? Au India hawafi maana nao wanatengeza hizo chanjo?
 
Seme wewe siyo wazee,we ni nani kuwasemea wengine? Huko uliko umeona hata jirani yako mzee aliyekufa? Au unatamani yakukute yanayowakuta wazungu?
kenua tu meno eti tuletee.
 
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.

Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.

Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.

Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni. India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.

Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.

Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.

#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#Kazi iendelee.

Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Sasa umeandika nini,mwenzako katoa analysis na maono yake kisayansi,wewe unaandika siasa hata zaidi yake.Hizo habari za watu kufa kuanzia ugonjwa unaingia tunazipata kwenye media za watengeneza chanjo kila siku na hata ugonjwa ulipoanza ililipotiwa vifo vingi zaidi brazil na marekani kwenyewewe,we ndio unashangaa India leo.Any way ripoti Zaidi za vifo zitakuijia awamu ya tatu ya kirusi hicho pendwa japo kitakuwa selective kama kilivyofanya awamu ya pili.
 
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.

Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.

Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua.

Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni. India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.

Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.

Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.

#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#Kazi iendelee.

Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

je unajua unaweza kuishtaki astrazeneca? je unajua madhara ya kunadika code mpya kwenye gene za watu?
 
Huyu ndiye yule askofu wa wajinga aliyekuwa akiwahamasisha wasukuma kwa kilugha wamsapoti dikteta aliyekwenda?!! Askofu huyu anaamini katika kufufua ndondocha na misukule lakini haamini korona inaua?!!!!

mpaka apo jipime mjinga ni nan
 
Ukisema insignificant , una maana gani, kwahiyo maisha ya mtu ni insignificant!! Kwani ku-exercise caution kwenye hii kitu ni kitu kibaya...
Statistically insignificant.Complication ya kuganda damu ipo hata kwa wale ambao hawajapata chanjo.Hivyo huwezi ku claim moja kwa moja chanjo ndio inasabisha mgando wa damu.
 
Kwani watu hawafi,hawagandi damu,hujasikia nchi zilizositisha chanjo sababu ya madhara yaliyotokea?
Au una mchukia tu.
tueleze basi wewe ukweli tukuamini,tutajie nchi ambayo sasa hivyi wako salama baada ya kuchanjwa? Labda Amerika hawafi baada ya kuvumbua hizo chanjo na kuwachanja? Au India hawafi maana nao wanatengeza hizo chanjo?
Hamna nchi ambayo hawafi kwa hili dude na pia hamna nchi iliyochanja watu wake wote labda Israel wako asilimia za juu sana. Huo ndio ukweli.
Chanjo zimepunguza vifo kwa nchi walizochanja kama US kulinganisha na siku za nyuma. Huo ni ukweli.
India wamechanja asilimia 11 tu kwahiyo wengi wanaokufa hawajachanjwa. Huo ni ukweli.
Kuonyesha kuwa watu wamechanjwa na bado wanakufa sio ukweli.
Sio kila chanjo inagandisha damu. Hii iliripotiwa kwa chanjo ya AstraZeneca tena kwa asilimia ndogo sana ingawa wengi waliamua kusitisha kwa tahadhari.
Kwa zingine hiyo habari haiko hivyo. Huo ndio ukweli.
Kama tunakataa chanjo tukatae tu lakini tusitumie uongo kufanya hivyo.
 
Mm Gwagima nimekuelewa sn hivi vitu sio vya kupapalika navyo vitatucost ingekuwa hii chanjo ni nzuri nchi za wenzetu watu wangekuwa hawafi kiasi hicho wenzetu wanasitisha chanjo kutokana na matokeo waliyoona ss ndio tunataka kujichanganya mwishoni tu,tuwe makini
 
CHANJO itakusaidia nini?
hivi nyie mngekuwa mnakufa kama wenzenu mngesemaje?
Huko wenzenu Wana chanjo na bado wanakufa.
Mchina akikaa chini akatengeneza kirusi uje ukidhibiti na chanjo zako mshenzi?
Watu wanajua wanachofanya.
MSIKURUPUKEView attachment 1781498
Kumbe huwa unaingia mkenge kusoma na kuamini habari za aina hii? Pole.
 
Ninachojua ni kwamba huu ugonjwa bado haujatupiga sawasawa ndo maana watu tuna mbwembwe nyingi na kutunisha vifua ila siku utakapoanza kutukanyaga kisawa sawa kila mtu atatafuta silaha aliyonayo ajiokoe.Ata hivyo nilitegemea kuona hawa viongozi wetu wanapoonyesha wasiwasi na vitu kutoka nje basi waonyeshe pia na wao wamesumbua vichwa vyao kiasi gani kutengeneza vya kwetu vyenye usalama kwasababu ata sisi tuna vichwa,kuliko kusema tu alafu huna chochote kitakachokuja kusaidia watu wako endapo ugonjwa utashamiri hapa kwetu.sana sana hali ikija kua mbaya kwavile wao wana uwezo kifedha watajihudumia majumbani mwao kimya kimya uku sisi kapuku tukiangamia kwa kukosa maarifa.
 
Anahis watz wa mwaka 2021 ni sawa wale vibwengu wake anao wadanganya kila siku
Kiboko kisiishie kwa wafungwa na wanafunzi tu, viongozi wapotoshaji wanastahili kucharazwa viboko hadharani live live.
 
Askofu Gwajima amesema hapingi chanjo bali anatoa tahadhari kuhusu aina ya chanjo, teknolojia iliyotumika na muda uliotumika kutengeneza chanjo za covid ukilingsnisha na chanjo za magonjwa mengine ambazo zinachukua hadi miaka 8 kukamilika.

Pia aliongelea madhara ambayo tayari yameanza kujitokeza kwa baadhi ya chanjo Kama kuganda damu na kupunguza uwezo wa kupumua.

Pia ukumbuke chanjo hizi ziko kwenye majaribio na hazijathibitishwa na CDC na FDA kama chanjo rasmi, bali zimeruhusiwa kutumika kwa ajili ya dharura, kwa hiyo madhara yeyote yatayotokana na matumizi ya hizi chanjo kampuni zilizotengeneza hazitawajibika kwa lolote.

Kwa hiyo ndugu unapojibu hoja za Askofu Gwajima jaribu kujibu kisayansi Kama yeye alivyodadavua, siyo hizo ngojera zako ulizoandika.
Kwahiyo dunia ilitakiwa ikae miaka 8 kufanyia utafiti chanjo ya ugonjwa unaoweza kuua ndani ya siku 4 hadi 7.Ndugu si dunia ingeisha.Ata tunapoambiwa tuvae barakoa,kuepuka misongamano,kunawa mikono ni katika jitihada za wataalamu kufikiria namna yakupambana na kuenea kwa maambukizi kwasababu ugonjwa haukupi miaka yakufikiria nini ufanye.Alafu lazima ujue hakuna dawa ambayo haifanyiwi majaribio.ata hizo ambazo wewe umeshawai kuzitumia jua kuna ambao walizitumia awali kwa majaribio na side effect zake zinaendelea kurekebishwa kwa jinsi zinavyoripotiwa hadi inapokua na side effect zinazovumilika.kwahiyo mambo mengine ni kawaida tu lazima yafanyike.kwenye janga kama hili swala la kuua wachache uponye wengi haliwezi kuepukika.Tunachotakiwa kukiwaza ni kufikiria nasisi tuna majawabu gani juu ya hili janga endapo litatufika kisawasawa.
 
Mimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..

FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...
Naona wachangiaji wengi wanamshambulia Gwajima badala ya kushambulia hoja zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom