Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,129
- 1,497
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiingie kwenye mtego , soma katiba ya ChademaLakini CDM mfikiri zaidi namna ya chama kufanya kazi na wabunge wake, suala la mwenyekiti wa chama kuwa pia KUB nadhani linaleta mkanganyiko wa kuadmnister cacus ya chama
Katiba sio msaafu wewe.. ujanjaujanja una mwisho mnaiba kura kibwege kama mnavyofanya.. Mwaka huuTrump atakuja kumaliza hasira za covid 19 kwenu[ref; Koudou Laurent Gbagbo]Pia ukimaliza tuwasaidie chadema na wengine waijue katiba ya Tanzania na wakubal kua tume ya uchaguz ni huru kulingana na katiba yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
2020 hii Chadema kutoboa ni ngumu sana kwa raisi huyu aliyepo,mkumbuke huyu sio JK.Watasimamishwa hao unaowaona wapuuzi sasa na watatoboa vilevile labda kama kuna tume nyingine ya uchaguzi Octoba sio mbali sana tusubiri na mungu atupe uzimaJuakali ...amepoteza mwelekeo, naiona CCM ikikosa majimbo kwa upuuzi wakuwaweka wapinzani kugombea ubunge nakuwatema wafia chama wa CCM
Kuingia bungeni ni kosa linalohitaji dharura ya kamati kuu?Jambo la dharula linaamliwa bila kusubiri mtu anayehatarisha maslahi ya chama asikilizwe.
Amuangalie Zitto, anapanda mlima mrefu sasa hiviLijualikali asisahau hapo alipo sasa hv yupo juu kwa kupitia chadema asiitukane sn awe na maneno ya akiba kidogo. Asisahau anakotoka kugumu lkn asisahau anakoelekea pia kunaweza kukawa kugumu kuliko anavyofikiria
Nasikia ni mkwe wa Kigogo mmoja Serikalini.... Hatalala njaaLijuakali aamini anachokiona kwamba Ubunge ndio baba jane bye bye!!!
Ya posho za kibunge sio nyingi Mkuu ingekuwa mshahara.By the way ndo katiba yao inavyosema30% kwa wabunge viti maalum mbona nyingi sana.