Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

CCM imekuwa vigumu kumpata Mwenezi maana nafasi hiyo inahitaji mtu maarufu na mwenye kupendwa na awe na mvuto hata akiwa anaongea.
 
Nchi hii ushauri Huwa unasikilizwa?watz wazalesho walishauri mama ajiuzulu alitekeleza?
 
Mhe. John V.k. Mongella,soon atateuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM taifa kuchukua nafasi ya dkt Nchimbi ambaye Hadi Sasa kapoteza mwelekeo
 
Shaka ni Mzanzibar hana umaarufu wowote huku bara,Jokate ni Mwanamke kwa jamii ya kiafrika hamna mtu anaweza poteza muda wake kumsikiliza Mwanamke hata akiwa anaongea.
Kwa hiyo mnamnanga Samia Kwa sababu ni Mwanamke na mbaya zaidi Mzanzibar ambae ni Muislamu si ndio? Upuuzi
 
Siku hizi kabakiza kazi hiyo hiyo teua tengua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…