Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kumpa mjita yoyote nafasi kubwa ya uongozi na sawa umpe Msukuma au Mhaya au Mnyakusya-utaambulia mabuha.Anthony mtaka hata uwaziri mkuu wa hii nchi anauweza sijawahi kuwa na shaka nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumpa mjita yoyote nafasi kubwa ya uongozi na sawa umpe Msukuma au Mhaya au Mnyakusya-utaambulia mabuha.Anthony mtaka hata uwaziri mkuu wa hii nchi anauweza sijawahi kuwa na shaka nae
Shaka ni Mzanzibar hana umaarufu wowote huku bara,Jokate ni Mwanamke kwa jamii ya kiafrika hamna mtu anaweza poteza muda wake kumsikiliza Mwanamke hata akiwa anaongea.Yule dogo Shaka alikuwa safi.
Pili Jokate Mwegelo
Ataanza kwa kusema...Mwijaku
Kwa hiyo mnamnanga Samia Kwa sababu ni Mwanamke na mbaya zaidi Mzanzibar ambae ni Muislamu si ndio? UpuuziShaka ni Mzanzibar hana umaarufu wowote huku bara,Jokate ni Mwanamke kwa jamii ya kiafrika hamna mtu anaweza poteza muda wake kumsikiliza Mwanamke hata akiwa anaongea.
Siku hizi kabakiza kazi hiyo hiyo teua tengua.Mtu asokuwa na vision hata ukimsaidia impact haionekani. Inaonekana ccm kazi kubwa ni kuteua na kutengua kila siku. Hata mtu aharibu kiasi gani atahamishwa sehemu A kwenda B na wadau watashangilia kama vile Simba vs Al ahly.
CCM wanajua watanzania tunataka nini, wanatupa exactly tunachotaka. Wiki hii ni gossip ya Makonda vs Katibu mwenezi, hakuna lenye tija, hata report ya CAG haiingizwi kwenye mjadala wa kitaifa tena.
Ndio maana huwa ninawaita mashoga hawa vijana wajinga.Ujinga huu, tuache kusaidia watoto wetu ambao wanakaa chini bila madawati au wamama wanaotembea kilomita 20 kufuata maji baada ya miaka 60 ya uhuru eti tuhangaike na upuuzi wa chama kilichosababisha haya yote, Seriously??
*****Kumpa mjita yoyote nafasi kubwa ya uongozi na sawa umpe Msukuma au Mhaya au Mnyakusya-utaambulia mabuha.
Aliwahi kueneza nini lini na wapi ?
Eh kwani wewe huwezi ukamchague mty mwingine hebu tulikeane tujipigie kura
Hadi simba nae anaishabikia mechi ya Yanga na mamelod 😂Ismail Aden Rage anatosha hoyo nafasi.
View attachment 2949728