Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

CCM imekuwa vigumu kumpata Mwenezi maana nafasi hiyo inahitaji mtu maarufu na mwenye kupendwa na awe na mvuto hata akiwa anaongea.
 
Nchi hii ushauri Huwa unasikilizwa?watz wazalesho walishauri mama ajiuzulu alitekeleza?
 
Mhe. John V.k. Mongella,soon atateuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM taifa kuchukua nafasi ya dkt Nchimbi ambaye Hadi Sasa kapoteza mwelekeo
 
Shaka ni Mzanzibar hana umaarufu wowote huku bara,Jokate ni Mwanamke kwa jamii ya kiafrika hamna mtu anaweza poteza muda wake kumsikiliza Mwanamke hata akiwa anaongea.
Kwa hiyo mnamnanga Samia Kwa sababu ni Mwanamke na mbaya zaidi Mzanzibar ambae ni Muislamu si ndio? Upuuzi
 
Mtu asokuwa na vision hata ukimsaidia impact haionekani. Inaonekana ccm kazi kubwa ni kuteua na kutengua kila siku. Hata mtu aharibu kiasi gani atahamishwa sehemu A kwenda B na wadau watashangilia kama vile Simba vs Al ahly.
CCM wanajua watanzania tunataka nini, wanatupa exactly tunachotaka. Wiki hii ni gossip ya Makonda vs Katibu mwenezi, hakuna lenye tija, hata report ya CAG haiingizwi kwenye mjadala wa kitaifa tena.
Siku hizi kabakiza kazi hiyo hiyo teua tengua.
 
Back
Top Bottom