Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

Acha uchuro basi bibie
 
Last week waliweka program kuhusu maisha yake na Autobiography na walioandika maisha yake
Kwa mara ya kwanza wakasema ukweli kuwa alikuwa anasumbuliwa mwaka mzima na cancer ya mifupa

Hawakutaka watu wajue mwanzo ila wamesema
Jamani na watakuwa walijuwa anytime anakufa. Mmh sipati picha alikuwa under care kiasi gani, watakuwa walifanya kila njia ikashindikana
 
Aliichezea simba au yanga? Wampeleke mlonganzila kuna madaktari wataalamu sana pale
 
Sio kweli mkuu... siyo kweli!!

Ni vema kukaa kimya kuliko kupotosha jamii na kuijanza uongo..

Cancer ni abnormal growth of the cells... aidha cells kuzalisha kwa wingi au kuongezeka size kupita kiasi...!!

Sababu hatarishi za saratani ni nyingi sana kwani hata saratani zenyewe ziko za aina nyingi pia

Hata hiyo ya x-rays bado umepotosha japo sikatai kuwa mionzi ikitumika vibaya inaweza kuwa kisababishi cha saratani... ndo maana inahitaji kufanywa na wataalamu husika!

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Pele adumu milele, na atadumu daima hata kama mwili utamtoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…