Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

Ni myth mzee !! Rejea nilichoandika unaweza ukaeleza zaidi , hyo ni myth nilishawai kusikia .

Kama uko njema toa elimu.
 
Bila waingereza kutumia Hooliganism yao; na marefa waingereza kuachia pele apigwe kiatu na kila mtu mpaka kuumia na ku-retire (baada ya 1966) England isingeshinda hilo Kombe la 1966


Eusebio akimuonea huruma Pele baada ya muendelezo wa kupigwa buti

There is only one Pele..., Pele is more than Football Pele is even more than Edson Arantes DoNascimento...

Yaani hadi Brazil Bunge lilimfanya Pele ni Nyara ya Serikali ili kuondoa uwezekano wa Pele kununuliwa na kucheza vilabu vya nje....

 
Pele with 1279 goals out of 1381 games
Pele with 77 goals out of 92 games for National team
Pele with 3 World Cup out of 4 World Cup he played and out of 5 the country ever won
Pele won World Cup at 17 years no one else …

The legend
 
Mhhhh aisee....sipati picha au alikua anaruka hewani?
 
Pele with 1279 goals out of 1381 games
Pele with 77 goals out of 92 games for National team
Pele with 3 World Cup out of 4 World Cup he played and out of 5 the country ever won

The legend
Duuuuh
 
Babu yangu yuko namtumbo ana 85 haoni vizuri anatumia alifanyiwa operation ya macho mwaka 2018 pale peramiho anatumia miwani ya macho wajukuu zake tunamuita fundi mageti ila mpaka sasa anaenda shambani analima na anadamka asubuhi sana kabla ya wajukuu zake
Ila mzee pelle na umri huo yuko hoi M/Mungu amrehemu
 
Kombe la dunia la Kwanza Brazil Kushinda (Pele akiwa na miaka 17, kijana Mweusi kipindi cha ubaguzi) ingawa alikuja kama reserve....

Mechi na Sweden Goli alilofunga mpira kauweka kifuani, akapinda na kumuacha mlinzi anashangaa, mlinzi mwingine kala kanzu..., akaachia volley moja matata sana....,
 
Wazungu wanajua kucheza na psychology zetu huyo kashakata moto hapo wanawaandaa mashabiki tu mda wowote watatoa official death statement
Kweli kabisa mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…