ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Mungu ndiye mwamuzi...hata sie wote hatuijui sekunde yetu ijayo...hatuzijui dakika zetu zilizosalia duniani...hatuzijui siku wala saa tulizobakiza hapa duniani...Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana.
Almost itakuwa before January.
Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si mchezo.
Ajuaye bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salaama,leo tunawapa pole..Duh!
Watu humu mnaongea utafikiri mmeshawasiliana na muumba wake kwamba atafariki soon
Tukumbuke kuwa maisha ni fumbo, na kila mtu hajui ni siku gani atatwaliwa!!
Usishangae kuona kuwa, weww ambaye ni mzima, ukatwaliwa kabla yake yeye ambaye tunadhani atatangulia soon!
Kifo si cha kumtabiria mtu, kwa kuwa ni chetu sote!!
Nimesikitika sana!
Cancer inasababishwa na nini..?sasa hilo swali gani? Haihusiani na uwezo wa kipesa,..it's natural hakuna sababu utaiona ikikufika. Utaambiwa ukivuta sigara unaipata..Pele alikuwa anavuta? Nyerere sawa aliwahi kusema mwenyewe..mimi na wewe je? Huwezi ukajifanya careful usiipate,ikiamua inatua tu,jiandae kufa tu hata ukijaaliwa miaka mia ya kuishiHivi Kansa inasababishwa na nini wazee, halafu hapo in ana hela sasa wenzangu na mm so ndo unafia hapo kwenye kordo
Lakini kuna utofauti ndgu, wewe unavyotype hapo umeshapanga kwamba ukimaliza kutype utaperuzi uzi fulani ukiamini sekunde chache zijazo bado utakua hai.Kifo hakichagui mgonjwa au mzima,kijana au mzee,anaweza akafa mtu mwenye afya yake kabla hata ya kifo cha Pele,kila kiumbe hai ni mfu mtarajiwa,anytime unaweza kufa.
Amepita miaka ya ahadi aisee ana zaidi ya 70-80Ana miaka mingapi? Isije ikawa imezidi ile ya ahadi tulopewa ukiwa na nguvu au yupo kwenye ile miaka ya tabu na mateso
Umeelewa swali mzee au ndo wale wajuaji wa jf, na kuhusu kufa utakufa tu hata pasipo hyo Kansa, ujuaji usiwe mwingi hii ni platform ya kujifunza sio kutafuta sifaCancer inasababishwa na nini..?sasa hilo swali gani? Haihusiani na uwezo wa kipesa,..it's natural hakuna sababu utaiona ikikufika. Utaambiwa ukivuta sigara unaipata..Pele alikuwa anavuta? Nyerere sawa aliwahi kusema mwenyewe..mimi na wewe je? Huwezi ukajifanya careful usiipate,ikiamua inatua tu,jiandae kufa tu hata ukijaaliwa miaka mia ya kuishi
Umejuaje itakua B4 January? Wabongo bhanaLegend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana.
Almost itakuwa before January.
Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si mchezo.
Kikubwa ni kumuombea mauti yaje aondokane na kadhia ya maumivu yasiyomithilika. Mauti ni ibada. Wala si kitu cha kukwepeshakwepesha hasa kwa mwenzetu anayekua katika hali kama yake na umri ule.
Mtu unaitwa Shimba ya Uyenze utegemee kutoboa life kwelii?π jokes πWazazi wake walimpa jina la Edson Arantes do Nascimento na Nickname yake ilikua ni "Dico" katikati ikatokea historia ndefu had majina yake yote yakasahaulika akabaki na Nickname ya " Pele " na ndo akatoboa nalo ukijiita majina magum magum kwenye maisha hata kutoboa inakua ngumu
Huwez kutoboa kutaja jina tu unamaliza dakika nzima wakat Messi ndan ya dakika 1 anatengeneza pesa ndefu sasa muda unaopoteza kutaja jina umepoteza kiasi cha shingapiMtu unaitwa Shimba ya Uyenze utegemee kutoboa life kwelii?π jokes π
Mchezaji bora wa tatu wa muda wote baada Messi na diego armando Maradona
Atakuwa anawaza world cup.Sijui atakua anawaza nini wakati huu ambao anajua fika ni muda tu umebaki atwaliwe.
Kwamba ukijifunza ndio hutokufa?Japo mambo haya yanatukumba binadamu lakini hatujifunzi
Ma Legendary hua wanakufa kimwili tu ila wanaishi forever Duniani,malegendary kama Bob Marley,2Pac,Michael Jackson,Diego Maradona,Fidel Castro....Dunia itaendelea kuwatambua kizazi na kizazi.Pele adumu milele, na atadumu daima hata kama mwili utamtoka
Mkuu umenikumbusha kipindi cha Ugua pole enzi za R.T.DAjuaye bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salaama,leo tunawapa pole..