Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana.

Almost itakuwa before January.
Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si mchezo.
Mungu ndiye mwamuzi...hata sie wote hatuijui sekunde yetu ijayo...hatuzijui dakika zetu zilizosalia duniani...hatuzijui siku wala saa tulizobakiza hapa duniani...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Duh!

Watu humu mnaongea utafikiri mmeshawasiliana na muumba wake kwamba atafariki soon

Tukumbuke kuwa maisha ni fumbo, na kila mtu hajui ni siku gani atatwaliwa!!

Usishangae kuona kuwa, weww ambaye ni mzima, ukatwaliwa kabla yake yeye ambaye tunadhani atatangulia soon!

Kifo si cha kumtabiria mtu, kwa kuwa ni chetu sote!!

Nimesikitika sana!
Ajuaye bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salaama,leo tunawapa pole..
 
Hivi Kansa inasababishwa na nini wazee, halafu hapo in ana hela sasa wenzangu na mm so ndo unafia hapo kwenye kordo
Cancer inasababishwa na nini..?sasa hilo swali gani? Haihusiani na uwezo wa kipesa,..it's natural hakuna sababu utaiona ikikufika. Utaambiwa ukivuta sigara unaipata..Pele alikuwa anavuta? Nyerere sawa aliwahi kusema mwenyewe..mimi na wewe je? Huwezi ukajifanya careful usiipate,ikiamua inatua tu,jiandae kufa tu hata ukijaaliwa miaka mia ya kuishi
 
Kifo hakichagui mgonjwa au mzima,kijana au mzee,anaweza akafa mtu mwenye afya yake kabla hata ya kifo cha Pele,kila kiumbe hai ni mfu mtarajiwa,anytime unaweza kufa.
Lakini kuna utofauti ndgu, wewe unavyotype hapo umeshapanga kwamba ukimaliza kutype utaperuzi uzi fulani ukiamini sekunde chache zijazo bado utakua hai.
Vipi yule alielala kitandani akisubiri kiama tu na si kitu kingine chochote.
Hicho ndicho nilichomaanisha.
 
Cancer inasababishwa na nini..?sasa hilo swali gani? Haihusiani na uwezo wa kipesa,..it's natural hakuna sababu utaiona ikikufika. Utaambiwa ukivuta sigara unaipata..Pele alikuwa anavuta? Nyerere sawa aliwahi kusema mwenyewe..mimi na wewe je? Huwezi ukajifanya careful usiipate,ikiamua inatua tu,jiandae kufa tu hata ukijaaliwa miaka mia ya kuishi
Umeelewa swali mzee au ndo wale wajuaji wa jf, na kuhusu kufa utakufa tu hata pasipo hyo Kansa, ujuaji usiwe mwingi hii ni platform ya kujifunza sio kutafuta sifa
 
Hii kauli ya kifo si cha kumtabiria mtu inanikumbusha mbali.

Wakati ule Rais Hosni Mubarak wa Misri alipopinduliwa haikuchukua muda hali yake ya afya ilidhoofu.
Kwenye TV tulionyesha wakati anapelekwa ICU, kutokana na umri ule na hali Ile aliyokuwa nayo nikajisemea huyu hamalizi siku mbili.
Matokeo yake hospitali alitoka na akapata zaidi ya miaka 8
 
Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana.

Almost itakuwa before January.
Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si mchezo.
Umejuaje itakua B4 January? Wabongo bhana
 
Mwisho wa maisha ni kifo, mwisho wa mwanadamu ni kulala mauti...
 
Wazazi wake walimpa jina la Edson Arantes do Nascimento na Nickname yake ilikua ni "Dico" katikati ikatokea historia ndefu had majina yake yote yakasahaulika akabaki na Nickname ya " Pele " na ndo akatoboa nalo ukijiita majina magum magum kwenye maisha hata kutoboa inakua ngumu
 
Mtu unaitwa Shimba ya Uyenze utegemee kutoboa life kwelii?😁 jokes 😅
 
Mtu unaitwa Shimba ya Uyenze utegemee kutoboa life kwelii?😁 jokes 😅
Huwez kutoboa kutaja jina tu unamaliza dakika nzima wakat Messi ndan ya dakika 1 anatengeneza pesa ndefu sasa muda unaopoteza kutaja jina umepoteza kiasi cha shingapi
 
I wish siku ya fainali apumzike mazima kwa amani itakuwa kumbu kumbu nzuri. Duniani tunapita
 
Pele[emoji26][emoji26][emoji26]safari njema dingiii[emoji1488]dah[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Back
Top Bottom