Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
je ni kweli vidonda vilitengenezwa?Vidonda vya mdomoni ili wale vizuri? Duh..shida kwelikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
je ni kweli vidonda vilitengenezwa?Vidonda vya mdomoni ili wale vizuri? Duh..shida kwelikweli
Ni rahisi zaidi kukebehi hoja kuliko kujibu hoja... Mtu anakwambia "kaka shati umevaa nje ndani" Unageuka unajibu "We mjinga sana we shati linakuhusu nini". Unajisikia hadi mtu mwingine akuambie au ujione kwenye kioo.Moja ya maandiko ya hovyo kabisa kuwahi kutokea ardhini na mbinguni. Sujui hii ni akili gani. Au ulikuwa umelewa
Kigogo na Mange wana vyanzo au "source" za habari zao ila hawa hawawezi kujiita ni waandishi wa IJ.Wala sio ngumu, tuna outlet media za kutosha ndani ya nchi na nje ya nchi. Sema ni vile tu watuna waandishi wanaojitambua.
Kwa dunia ya sasa ya kidijitali huwezi kuwa na habari moto na ukawa unawalipua watu.
Kigogo na Mange waliweza vipi kuwa wanatoa habari za ndani.
Safi sana! Attachment haifunguki mkuu.Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga utawala wa sheria mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala ni matokeo ya lazima.
Inapotokea vyombo vya habari (vile vya zamani na hivi vya mitandaoni) vinajaribu kuwasiliana na watawala na kupeleka habari zake ili zihakikiwe basi tuna tatizo. Kama habari ikiandikwa halafu mtu anasema "itoeni hiyo habari" na chombo cha habari kwa kuogopa kuudhi au kwa kuhofiwa kuudhiwa kinakubali basi tatizo linazidi kukua.
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa si lazima kuwe na ugomvi kati ya vyombo vya habari na serikali. Nakumbuka wakati wa mtawala fulani vyombo vya habari vilisifika sana kwa kupokea "bahasha". Matokeo yake nakumbuka mchorani vikatuni wa Kenya Bw. Gado alichora picha ikionesha vyombo vya habari vikimlamba miguu mtawala wa wakati ule. Inawezekana tumerudi pale tena?
Lakini cha kutisha zaidi ni kuwa kama watu ambao hata hawako serikalini na si watawala labda wana utajiri wa kutupa tu nao wanaweza kuamua nini chombo cha habari kinafanya au kinasema basi kile kinachoitwa "uhuru wa vyombo vya habari" si kingine bali ni kugeuka kuwa "kunguru wa habari". Wanaruka ruka, kula, na kupiga kelele, za hapa na pale, huku wakidonyoa donyoa kile wanachopewa. Hawatakiwi kuudhi watu au kumuudhi mtu.
Tunajuaje kuwa tuna uhuru wa vyombo vya habari; watu wengine wanasema sasa hivi vyombo vya habari na waandishi hawafokewi, hawapigwa, hawatekwi, hawaumizwi, wamekaa kwa starehe wanafikiri kuwa hili ni jambo zuri. Ni zuri kwa nani? Ni lazima uwepo mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala.
Jukumu la vyombo vya habari si kuunga mkono serikali au kuipa maneno mazuri. Kile ambacho watu walisema kinatokea wakati wa JPM ndiyo hicho hicho kinatokea tena wakati huu wa SSH. Ukiangalia utaona kuwa ni shilingi ile ile ila upande mwingine tu. Sikuwahi kuwa na tatizo hata kidogo na watu au waandishi waliokua wanaikosoa na kumkosoa Magufuli.
Kuna watu wanafikiri tulimuunga mkono Magufuli halafu tukaegesha akili zetu pembeni wenyewe tukaondoka. Niliandika mada hapa ya kumtaka Rais Magufuli Ajiuzulu kama aliona kazi ya Urais ni ngumu (nina uhakika kuna watu hawakumbuki wanafikiri tulikuwa tunaimba sifa tu!). MADA HII HAPA BONYEZA.
Na mada hiyo nakumbuka ilipigiwa chapo na mkongwe MAYALA kwenye mada yake hii NYINGINE BONYEZA.
Ni lazima tuwe na uhuru wa kusema kisichopendeza, kuonesha kisichotakiwa, na kukataa kinachopendwa na wengine. Inapofika vitendo vya kifisadi vinahaririwa kwanza basi kile kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari hakipo tena. Ngoja tuone ili tufanye maamuzi saa hii. Nimeweka tena mada ya mwelekeo mpya wa ufisadi Tanzania uliorudi kwa nguvu.
UsiDOWNLOAD hii attachment; na ukidownload usiseme kilichomo.
Wenye vyombo vya habari ndio wanakiri wako salama sasa kuliko tuliiotoka(awamu ya 5),wewe chawa wa Mwendazake huna lolote unaloongea la msingi Kwa hiyo Tulia endelea kuomboleza.Na. M. M. Mwanakijiji

Ndugu yangu aliwahi kuwa Mhariri wa hilo gazeti. Walipokataa kuandika habari fulani yenye ushahidi... Akaacha kazi.hata enzi za This Day....
Umemuelewa???Wenye vyombo vya habari ndio wanakiri wako salama sasa kuliko tuliiotoka(awamu ya 5),wewe chawa wa Mwendazake huna lolote unaloongea la msingi Kwa hiyo Tulia endelea kuomboleza.
Kila kitu kina utaratibu, huwezi andika chochote ilimradi.Umemuelewa???
Anasema huo usalama wa wenye vyombo vya habari unatokana na kitu gani!?
Kwa ivo wenye vyombo vya habari wanamiliki vyombo hivyo Kwa ajili ya nani!?Kila kitu kina utaratibu, huwezi andika chochote ilimradi.
By the way wenye vyombo ndio wanaotakiwa kusema sio nyie mataga wa Mwendazake
Shida inaanzia kwenye Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari, 2016. Mwandishi akisoma masharti na adhabu zilizomo anabadili gia angani. (1) EACJ iliainianisha vipengele visivyopungua 17 vinavyolakamikiwa na wadau waliofungua shauri kwenye hiyo mahakama. (2) Baada ya kuvipitia, mahakama ikabaini vipengele visivyopungua 16 ni kweli vina shida, kipengere kimoja ilikiacha. (3) Serikali ya Tanzania ikaelekezwa ivirekebishe. (4) Mwaka jana serikali ilifanya marekebisho kwenye hiyo sheria katika sections 5, 38, 50, 51, 53, 54, 55, 63 & 64 (yaani jumla ya sections 9). (5) Lakini wadau walilalamikia sections: 7(3)(a), (b), (c), (f), (g), (h), (I) & (j); 13, 14, 19, 20 & 21; 35, 36, 37, 38, 39 & 40; 52 & 53; na 58 & 59. (6) Katika sections zinazolalamikiwa na wadau marekebisho yamegusa sections 4 tu (yaani, 38, 50, 53 & 54). (7) Lakini sections 5, 51, 55, 63 & 64, licha ya kwamba hazikulalamikiwa na wadau, nazo zimefanyiwa marekebisho na kufanya jumla ya sections 9 kuwa zimefanyiwa marekebisho. (8) Kwa hiyo, kati ya sections 17 (kwa mujibu wa EACJ sections 16) zilizolalamikiwa ukitoa 4 (zile zinazoendana na zilizolalamikiwa na wadau), bado sections 13 (na kwa mujibu wa EACJ, sections 12) hazijaguswa, licha ya kulalamikiwa.Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga utawala wa sheria mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala ni matokeo ya lazima.
Inapotokea vyombo vya habari (vile vya zamani na hivi vya mitandaoni) vinajaribu kuwasiliana na watawala na kupeleka habari zake ili zihakikiwe basi tuna tatizo. Kama habari ikiandikwa halafu mtu anasema "itoeni hiyo habari" na chombo cha habari kwa kuogopa kuudhi au kwa kuhofiwa kuudhiwa kinakubali basi tatizo linazidi kukua.
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa si lazima kuwe na ugomvi kati ya vyombo vya habari na serikali. Nakumbuka wakati wa mtawala fulani vyombo vya habari vilisifika sana kwa kupokea "bahasha". Matokeo yake nakumbuka mchorani vikatuni wa Kenya Bw. Gado alichora picha ikionesha vyombo vya habari vikimlamba miguu mtawala wa wakati ule. Inawezekana tumerudi pale tena?
Lakini cha kutisha zaidi ni kuwa kama watu ambao hata hawako serikalini na si watawala labda wana utajiri wa kutupa tu nao wanaweza kuamua nini chombo cha habari kinafanya au kinasema basi kile kinachoitwa "uhuru wa vyombo vya habari" si kingine bali ni kugeuka kuwa "kunguru wa habari". Wanaruka ruka, kula, na kupiga kelele, za hapa na pale, huku wakidonyoa donyoa kile wanachopewa. Hawatakiwi kuudhi watu au kumuudhi mtu.
Tunajuaje kuwa tuna uhuru wa vyombo vya habari; watu wengine wanasema sasa hivi vyombo vya habari na waandishi hawafokewi, hawapigwa, hawatekwi, hawaumizwi, wamekaa kwa starehe wanafikiri kuwa hili ni jambo zuri. Ni zuri kwa nani? Ni lazima uwepo mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala.
Jukumu la vyombo vya habari si kuunga mkono serikali au kuipa maneno mazuri. Kile ambacho watu walisema kinatokea wakati wa JPM ndiyo hicho hicho kinatokea tena wakati huu wa SSH. Ukiangalia utaona kuwa ni shilingi ile ile ila upande mwingine tu. Sikuwahi kuwa na tatizo hata kidogo na watu au waandishi waliokua wanaikosoa na kumkosoa Magufuli.
Kuna watu wanafikiri tulimuunga mkono Magufuli halafu tukaegesha akili zetu pembeni wenyewe tukaondoka. Niliandika mada hapa ya kumtaka Rais Magufuli Ajiuzulu kama aliona kazi ya Urais ni ngumu (nina uhakika kuna watu hawakumbuki wanafikiri tulikuwa tunaimba sifa tu!). MADA HII HAPA BONYEZA.
Na mada hiyo nakumbuka ilipigiwa chapo na mkongwe MAYALA kwenye mada yake hii NYINGINE BONYEZA.
Ni lazima tuwe na uhuru wa kusema kisichopendeza, kuonesha kisichotakiwa, na kukataa kinachopendwa na wengine. Inapofika vitendo vya kifisadi vinahaririwa kwanza basi kile kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari hakipo tena. Ngoja tuone ili tufanye maamuzi saa hii. Nimeweka tena mada ya mwelekeo mpya wa ufisadi Tanzania uliorudi kwa nguvu.
UsiDOWNLOAD hii attachment; na ukidownload usiseme kilichomo.
Umesahau juzi juzi ulipokuwa unatumika na jiwe kumpamba akiwa anachinja watu na kufanya udikteta?Na. M. M. Mwanakijiji

Sasa Umma ndio unahariri maudhui ya chombo Cha habari?Kwa ivo wenye vyombo vya habari wanamiliki vyombo hivyo Kwa ajili ya nani!?
Umewahi kuona leseni yoyote ya chombo Cha habari???
Chombo Cha habari kinawajibika Kwa umma na ndiyo maana Kuna Sheria ya maudhui ya vyombo vya habari.
Chombo Cha habari Kwa maslahi ya Umma Kwa kupitia Mhariri.Sasa Umma ndio unahariri maudhui ya chombo Cha habari?
Umesema sahihi, halafu Mwanakijiji amesahau alivyokuwa wakala wa JPM wa kuua ajenda za wananchi, wanachofanya wenzake yeye Mwanakijiji ndio muasisiMkuu si uje na wewe uanzishe chombo chako kitakachokuwa kinapishana na Serikali. Kwani unafeli wapi?
Yaani mtu ametoa mtaji wake kama Family ya Reginald Mengi kujenga empire ya vyombo vya habari. Anatengeneza ajira kwa maelfu na kulipa kodi, wewe unataka aandike habari za kufurahisha wanaharakati!!
Pamoja na hayo Kuna uafadhari Sasa kuliko walikotoka na pamoja na hayo yote Tanzania inaongoza Afrika Mashariki Kwa uhuru wa vyombo vya habari.ChoiceVariable umeona alichoandika Magobe T ??
Nitoe hela mfukoni mwangu halafu unipangie editorial agenda ya chombo changu cha habari?Chombo Cha habari Kwa maslahi ya Umma Kwa kupitia Mhariri.
Hao hao wahariri wamewahi toa taarifa zinazozuia taharuki na kuanza kuomba Rashi ,Kwa hiyo waachwe walete madhara ndio tahadhari ichukuliwe?Chombo Cha habari Kwa maslahi ya Umma Kwa kupitia Mhariri.
Ulitaka kusema wakati wa JPM?Sasa hii njaa huwa inaisha kwani? Maana wakati wa JF tuliambiwa waunga juhudi wote wanashikishwa...walikuwa na njaa