Tuna safari ndefu ngumu na ya hatari watanganyika kujinasua toka kwenye makucha ya wana mtandao

Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika
Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa kuumiza sana!
Taswira zilizojitokeza pale Mlimani city kwenye hafla ya harambee ya ccm... Lile kundi mliloliona lote, ni nani Kati yao
Atapenda katiba mpya kwa maslahi ya wote?
Atapenda uchaguzi huru wa wazi na wa haki?
Atapenda kuiona ccm inapigwa chini?
Atapenda kuiona CHADEMA chini ya Lissu na Heche inashinda uchaguzi mkuu?

Kushindwa kwa ccm na kushinda kwa CHADEMA kuna maana moja tu kwao! Mwanzo wa mwisho wa kuliibia taifa la Tanganyika!
Mwisho wa rushwa za kutisha
Mwisho wa ufisadi wa kutisha
Mwisho wa kuuza rasilimali za Tanganyika kwa bei sawa na bure! nknk

Kwenye ulaji na kujipata ni heri mara million mia upambane na fukara asiye na kitu kuliko tajiri aliyejipata kwa dhuluma, wizi na ufisadi
CHADEMA chini ya Lissu na Heche kushika madaraka ya Tanganyika kutahatarisha maslahi yao vibaya sana! Hili kundi liko tayari KUFANYA CHOCHOTE KIBAYA ili ccm ibaki madarakani.. !

Kwa hofu ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche ndio maana wanafanya kila mbinu chafu kuangamiza hiki chama na viongozi wake.. Barua ya Lissu ya jana toka gerezani inaumiza sana sana!
Kundi la mtandao limejipanga hasa kutoka sasa mpaka 2050 na kuendelea.. Limejipanga toka chini mpaka juu kabisa! Kelele za Watanganyika kwao ni kejeli kubwa
Kuna tetesi zisizokoma kwamba uchaguzi umeshakwisha na nani atakuwa wapi na kwenye nini tayari mikeka imeshapangwa! Hivyo iwe mvua liwe jua ni lazima kundi la mtandao liibuke kidedea kwa mtazamo wao
Wana pesa, wana vibaraka wana chawa kwanini washindwe ? Tumewapoteza ndugu zetu wengi sana waliojaribu kupaza sauti zao kwa ajili yetu.. Wengine wamepitia na wanapitia madhila makubwa kwa ajili ya Tanganyika
Wengine wamepata ulemavu wa kudumu
Wengine wamebambikiwa kesi zisizo na dhamana
Wengine wameacha yatima na wajane nknk.. Yoote kwa ajili ya kuipigania Tanganyika!

Safari ya kuikomboa Tanganyika si lelemama ni ngumu na iliyojaa kila aina ya hatari kwakuwa inapora ulaji na madaraka ya walafi wasio na chembe ya uchungu na hili taifa!

Mungu pekee ndiye anaweza kuamua huu ugomvi! Tuzidishe maombi maana kukichwa kutambazuka..!!!
View attachment 3441658
fear of unknown mindset are always useless and completely nonsense 🐒
 
We ht aliyekuzaa anajutia, hujawahi kuwa na akili. Dunia hii unaongelea nchi ambayo hujawahi kuifahamu ndiyo uonekane unaongea jambo la maana? Hicho chadomo lenu limeshakufa. Wenzetu wanajenga umoja wa kitaifa nyie mnabomoa nchi na mlivyo mazombie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu taratibu basi.

Russia anahangaika kuiongeza Ukraine kwake; China anatamani Taiwan hata Sasa; Israel anaimalizoa Gaza; Rwanda, kinamna flani anatamani kuimega DRC. Huku kwetu eti 'think tank' la Chama flani chenye viongozi waliohamishia familia Ulaya na kisomesha watoto wao huko, linafikiria kujitenga.....kipinguza ardhi; yaani think tank Bado mwili upo Karne hii ya 21 lakini akili yake ni ya Karne ya 17🤣🤣🤣

Halafu ifike kipindi tuheshimiane, yaani mtu anawataja heche na lissu zaidi ya mara kumi katika Uzi wake eti wanafaa kutuongoza. Yaani sisi ndo ametuona tumekosa mipango hadi kuongozwa na heche?!!!!!!!! Matusi haya!!😡😡😡

Kitu kikubwa alichofanikiwa JPM ni kubrainwash wafuasi wake na kubaki kuamini akilini mwao kwamba yeyote yule mwenye Hela basi ni fisadi na mwizi. Ni mentality ya kishamba sana.
 
Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika
Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa kuumiza sana!
Taswira zilizojitokeza pale Mlimani city kwenye hafla ya harambee ya ccm... Lile kundi mliloliona lote, ni nani Kati yao
Atapenda katiba mpya kwa maslahi ya wote?
Atapenda uchaguzi huru wa wazi na wa haki?
Atapenda kuiona ccm inapigwa chini?
Atapenda kuiona CHADEMA chini ya Lissu na Heche inashinda uchaguzi mkuu?

Kushindwa kwa ccm na kushinda kwa CHADEMA kuna maana moja tu kwao! Mwanzo wa mwisho wa kuliibia taifa la Tanganyika!
Mwisho wa rushwa za kutisha
Mwisho wa ufisadi wa kutisha
Mwisho wa kuuza rasilimali za Tanganyika kwa bei sawa na bure! nknk

Kwenye ulaji na kujipata ni heri mara million mia upambane na fukara asiye na kitu kuliko tajiri aliyejipata kwa dhuluma, wizi na ufisadi
CHADEMA chini ya Lissu na Heche kushika madaraka ya Tanganyika kutahatarisha maslahi yao vibaya sana! Hili kundi liko tayari KUFANYA CHOCHOTE KIBAYA ili ccm ibaki madarakani.. !

Kwa hofu ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche ndio maana wanafanya kila mbinu chafu kuangamiza hiki chama na viongozi wake.. Barua ya Lissu ya jana toka gerezani inaumiza sana sana!
Kundi la mtandao limejipanga hasa kutoka sasa mpaka 2050 na kuendelea.. Limejipanga toka chini mpaka juu kabisa! Kelele za Watanganyika kwao ni kejeli kubwa
Kuna tetesi zisizokoma kwamba uchaguzi umeshakwisha na nani atakuwa wapi na kwenye nini tayari mikeka imeshapangwa! Hivyo iwe mvua liwe jua ni lazima kundi la mtandao liibuke kidedea kwa mtazamo wao
Wana pesa, wana vibaraka wana chawa kwanini washindwe ? Tumewapoteza ndugu zetu wengi sana waliojaribu kupaza sauti zao kwa ajili yetu.. Wengine wamepitia na wanapitia madhila makubwa kwa ajili ya Tanganyika
Wengine wamepata ulemavu wa kudumu
Wengine wamebambikiwa kesi zisizo na dhamana
Wengine wameacha yatima na wajane nknk.. Yoote kwa ajili ya kuipigania Tanganyika!

Safari ya kuikomboa Tanganyika si lelemama ni ngumu na iliyojaa kila aina ya hatari kwakuwa inapora ulaji na madaraka ya walafi wasio na chembe ya uchungu na hili taifa!

Mungu pekee ndiye anaweza kuamua huu ugomvi! Tuzidishe maombi maana kukichwa kutambazuka..!!!
View attachment 3441658
Yaani ingekuwa inawezekana Mungu akanikabidhi tu madaraka yake hata kwa dakika 5 tu, mngekuta nchi imenyooka! Mzee Kwete amekuwa mpumbavu sana anaiendesha hii takataka kama haina akili! Hakika tuna miaka mingine mitano ya taabu na mashaka! Gheshi letu nalo limetutelekeza, hivi hawaoni huu uchafu jamani? Hivi haya mabilioni yaliyotoka kwa matajiri watayalipaje hawa? Pumbavu kabisaaaa!
 
Nyinyi si mlimpinga na kumwita dictator...haya yanayo tokea ni FUNZO KWA WAPUMBAVU WOTE NCHINI ...JPM ALITAKIWA KUWA DICTATOR MARA 7 YA ALIVYO KUWA ILI KUNYOSHA NCHI ...nchi inaibiwa wapumbavu wanasema tutashitakiwa MIGA....Tulionya kuhusu mwanamke kuwa viongozi wapumbavu wakaleta kauli zao za kipumbavu na kianithi kuwa
👉mama ana akili kwa sababu amekuzaa .
👉bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu.
👉mwanamke ni mungu wa pili.
👉hakuna kama mama.
👉laana ya mama ni kali kuliko baba
HIZI KAULI ZILISIKIKA KUTOKA VINYWANI MWA WATU WAPUMBAVU WENYE UANITHI WA AKILI
Hakika
 
Maombi bila hatua ni umbumbumbu, hata Mungu anatuambia kujipigania wenyewe, Hakuna Taifa ambalo lilikombolewa kwa maombi pasi na kuchukua hatua.

Mauaji, utekaji, uzandiki, ufisadi na kuonea watu hakuondolewi na maombi, ni kuchukua hatua dhidi ya mamlaka. Wakenya hawapiganii Taifa lao kwa maombi, ni kupinga kwa vitendo kwa kuugomea utawala uliopo madarakani kwa vitendo.

Wapigania uhuru wetu wangesema wakeshe makanisani na misikitini wafanye maombi ili mkoloni aondoke sidhani kama tungekuwa hapa leo hii. Mfumo hasi hupingwa kwa uasi dhidi ya mfumo wenyewe.

Yaani kakikundi ka watu 1000 wanaitafuna Nchi na watu zaidi ya 70M tupo tu tunawaangalia, Alieturoga sisi k*mamake zake huko aliko.
Watachukua muda kukuelewa
 
Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika
Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa kuumiza sana!
Taswira zilizojitokeza pale Mlimani city kwenye hafla ya harambee ya ccm... Lile kundi mliloliona lote, ni nani Kati yao
Atapenda katiba mpya kwa maslahi ya wote?
Atapenda uchaguzi huru wa wazi na wa haki?
Atapenda kuiona ccm inapigwa chini?
Atapenda kuiona CHADEMA chini ya Lissu na Heche inashinda uchaguzi mkuu?

Kushindwa kwa ccm na kushinda kwa CHADEMA kuna maana moja tu kwao! Mwanzo wa mwisho wa kuliibia taifa la Tanganyika!
Mwisho wa rushwa za kutisha
Mwisho wa ufisadi wa kutisha
Mwisho wa kuuza rasilimali za Tanganyika kwa bei sawa na bure! nknk

Kwenye ulaji na kujipata ni heri mara million mia upambane na fukara asiye na kitu kuliko tajiri aliyejipata kwa dhuluma, wizi na ufisadi
CHADEMA chini ya Lissu na Heche kushika madaraka ya Tanganyika kutahatarisha maslahi yao vibaya sana! Hili kundi liko tayari KUFANYA CHOCHOTE KIBAYA ili ccm ibaki madarakani.. !

Kwa hofu ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche ndio maana wanafanya kila mbinu chafu kuangamiza hiki chama na viongozi wake.. Barua ya Lissu ya jana toka gerezani inaumiza sana sana!
Kundi la mtandao limejipanga hasa kutoka sasa mpaka 2050 na kuendelea.. Limejipanga toka chini mpaka juu kabisa! Kelele za Watanganyika kwao ni kejeli kubwa
Kuna tetesi zisizokoma kwamba uchaguzi umeshakwisha na nani atakuwa wapi na kwenye nini tayari mikeka imeshapangwa! Hivyo iwe mvua liwe jua ni lazima kundi la mtandao liibuke kidedea kwa mtazamo wao
Wana pesa, wana vibaraka wana chawa kwanini washindwe ? Tumewapoteza ndugu zetu wengi sana waliojaribu kupaza sauti zao kwa ajili yetu.. Wengine wamepitia na wanapitia madhila makubwa kwa ajili ya Tanganyika
Wengine wamepata ulemavu wa kudumu
Wengine wamebambikiwa kesi zisizo na dhamana
Wengine wameacha yatima na wajane nknk.. Yoote kwa ajili ya kuipigania Tanganyika!

Safari ya kuikomboa Tanganyika si lelemama ni ngumu na iliyojaa kila aina ya hatari kwakuwa inapora ulaji na madaraka ya walafi wasio na chembe ya uchungu na hili taifa!

Mungu pekee ndiye anaweza kuamua huu ugomvi! Tuzidishe maombi maana kukichwa kutambazuka..!!!
View attachment 3441658
Ukishajinasua utafaidikaje Sasa tukichukulia mfano wa awamu ya 5 wewe ulinufaikaje vs awamu ya Wana mtandao?

Tatizo lenu fikra za kimaskini zimewajaa inaonekana mnawachukia sana watu wenye pesa 😂😂

Upuuzi ule ule mliojazwa kichwani na Babu yenu Nyerere
 
Nyinyi si mlimpinga na kumwita dictator...haya yanayo tokea ni FUNZO KWA WAPUMBAVU WOTE NCHINI ...JPM ALITAKIWA KUWA DICTATOR MARA 7 YA ALIVYO KUWA ILI KUNYOSHA NCHI ...nchi inaibiwa wapumbavu wanasema tutashitakiwa MIGA....Tulionya kuhusu mwanamke kuwa viongozi wapumbavu wakaleta kauli zao za kipumbavu na kianithi kuwa
👉mama ana akili kwa sababu amekuzaa .
👉bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu.
👉mwanamke ni mungu wa pili.
👉hakuna kama mama.
👉laana ya mama ni kali kuliko baba
HIZI KAULI ZILISIKIKA KUTOKA VINYWANI MWA WATU WAPUMBAVU WENYE UANITHI WA AKILI
Kuzuia mama asiwe rais 2021 isingewezekana
 
We ht aliyekuzaa anajutia, hujawahi kuwa na akili. Dunia hii unaongelea nchi ambayo hujawahi kuifahamu ndiyo uonekane unaongea jambo la maana? Hicho chadomo lenu limeshakufa. Wenzetu wanajenga umoja wa kitaifa nyie mnabomoa nchi na mlivyo mazombie
Umoja wa Kitaifa ???
 
Kwani mtu kubinywa ndio furaha ya maskini au? Wafanyabiashara wasipobinywa Nchi inapata Mapato zaidi na Ajira zaidi.

Sasa tulinganishe wakati Nchi inabinywa hakuna wawekezaji,hakuna Ajira,hakuna Mapato ,vitisho everywhere,kupora pesa na Umaskini kuenea.

Na matokeo yake Sasa unaweza linganisha grafu hapa
20250702_090951.jpg
thechanzo_1751436711797.jpg

Iko clear kwamba ukombisha mfanyabiashara utapoteza tuu na watu maskini Mko obsessed sana na matajiri,mnapambana wawe maskini kama nyie badala ya kupambana kuwa Tajiri kama wao.

Akili za kipumbavu mlizorithishwa na Babu yenu Nyerere.
 
fear of unknown mindset are always useless and completely nonsense 🐒
Naona ndio umeamka na hangover ya kilevi cha undumilakuwili na ukuwadi wa mafisadi .. Kenge kwenye msafara wa mamba muambulia makombo😂😂😂😂
 
Ukishajinasua utafaidikaje Sasa tukichukulia mfano wa awamu ya 5 wewe ulinufaikaje vs awamu ya Wana mtandao?

Tatizo lenu fikra za kimaskini zimewajaa inaonekana mnawachukia sana watu wenye pesa 😂😂

Upuuzi ule ule mliojazwa kichwani na Babu yenu Nyerere
Kuwadi mwingine huyu muambulia makombo 😂😂😂
 
Unatakiwa kujibu maswali yangu hapo Juu.

Hiyo Haina tofauti na mtu kusema Bandari imeuzwa Wakati kabla haijauzwa ukimuuliza ulinufaikaje na Sasa umepotezaje hana majibu mnaishua kutukana 😆😆😆😆😆

Sawa wanamtandao wanafaidi Nchi,haya wakati hawapo sisi tusio wanamtandao tulinufaikaje?
 
Back
Top Bottom