"Empires rise and fall like the abdomen of God. It’s just the universe breathing." The problem is, I’m not sure if you’re thinking with your head or with your gut.Nchi haiwezi kufa labda wewe ndio ufe
Acha porojo za miaka hiyo hakuna mifumo ya kiutawala"Empires rise and fall like the abdomen of God. It’s just the universe breathing." The problem is, I’m not sure if you’re thinking with your head or with your gut.
Choice, you’re such a pathetic person. Unfortunately, you’re paid for it. You’re just a small obstacle in the path of real players. You answer only for the sake of answering, a paid, pathetic fool with no status in this country full of fools and idiots.Acha porojo za miaka hiyo hakuna mifumo ya kiutawala
You answer only for the sake of answering, a paid, pathetic fool with no status in this country full of fools and idiots.Choice, you’re such a pathetic person. Unfortunately, you’re paid for it. You’re just a small obstacle in the path of real players. You answer only for the sake of answering, a paid, pathetic fool with no status in this country full of fools and idiots.
Hakuna anayemchukia tajiri Kama ameupata kiuhalali na akalipa Kodi Ila sio kwa kuua watu ndio aupate unaona kuwa ni sahihi kweli.Ukishajinasua utafaidikaje Sasa tukichukulia mfano wa awamu ya 5 wewe ulinufaikaje vs awamu ya Wana mtandao?
Tatizo lenu fikra za kimaskini zimewajaa inaonekana mnawachukia sana watu wenye pesa 😂😂
Upuuzi ule ule mliojazwa kichwani na Babu yenu Nyerere
Sahihi but je, watanganyika wapo Tayari katîka Uhalisia ?Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika
Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa kuumiza sana!
Taswira zilizojitokeza pale Mlimani city kwenye hafla ya harambee ya CCM... Lile kundi mliloliona lote, ni nani Kati yao
Atapenda katiba mpya kwa maslahi ya wote?
Atapenda uchaguzi huru wa wazi na wa haki?
Atapenda kuiona ccm inapigwa chini?
Atapenda kuiona CHADEMA chini ya Lissu na Heche inashinda uchaguzi mkuu?
Kushindwa kwa ccm na kushinda kwa CHADEMA kuna maana moja tu kwao! Mwanzo wa mwisho wa kuliibia taifa la Tanganyika!
Mwisho wa rushwa za kutisha
Mwisho wa ufisadi wa kutisha
Mwisho wa kuuza rasilimali za Tanganyika kwa bei sawa na bure! nknk
Kwenye ulaji na kujipata ni heri mara million mia upambane na fukara asiye na kitu kuliko tajiri aliyejipata kwa dhuluma, wizi na ufisadi
CHADEMA chini ya Lissu na Heche kushika madaraka ya Tanganyika kutahatarisha maslahi yao vibaya sana! Hili kundi liko tayari KUFANYA CHOCHOTE KIBAYA ili ccm ibaki madarakani.. !
Kwa hofu ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche ndio maana wanafanya kila mbinu chafu kuangamiza hiki chama na viongozi wake.. Barua ya Lissu ya jana toka gerezani inaumiza sana sana!
Kundi la mtandao limejipanga hasa kutoka sasa mpaka 2050 na kuendelea.. Limejipanga toka chini mpaka juu kabisa! Kelele za Watanganyika kwao ni kejeli kubwa
Kuna tetesi zisizokoma kwamba uchaguzi umeshakwisha na nani atakuwa wapi na kwenye nini tayari mikeka imeshapangwa! Hivyo iwe mvua liwe jua ni lazima kundi la mtandao liibuke kidedea kwa mtazamo wao
Wana pesa, wana vibaraka wana chawa kwanini washindwe ? Tumewapoteza ndugu zetu wengi sana waliojaribu kupaza sauti zao kwa ajili yetu.. Wengine wamepitia na wanapitia madhila makubwa kwa ajili ya Tanganyika
Wengine wamepata ulemavu wa kudumu
Wengine wamebambikiwa kesi zisizo na dhamana
Wengine wameacha yatima na wajane nknk.. Yoote kwa ajili ya kuipigania Tanganyika!
Safari ya kuikomboa Tanganyika si lelemama ni ngumu na iliyojaa kila aina ya hatari kwakuwa inapora ulaji na madaraka ya walafi wasio na chembe ya uchungu na hili taifa!
Mungu pekee ndiye anaweza kuamua huu ugomvi! Tuzidishe maombi maana kukichwa kutambazuka..!!!
View attachment 3441658
Barua yake iko wapi?Kwa hofu ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche ndio maana wanafanya kila mbinu chafu kuangamiza hiki chama na viongozi wake.. Barua ya Lissu ya jana toka gerezani inaumiza sana sana!
Mkuu ukiacha walioko magerezani..kuna walioko makaburini😭 na kuna walioko kwenye vyumba vya siri vya mateso bila kuwasahau walioko uraiani lakini wakiwa na makovu na ulemavu😪🤔😩Sahihi but je, watanganyika wapo Tayari katîka Uhalisia ?
Au Utayari wetu ni kuwatizama kina Lisu, Gwajima Polepole kwenye Media wakipambana na Mafarisiyo all alone while we stand and Watch aside ?
Tujiulize hili Kiongozi ! Kuna watu wapo Gerezani kwa kutaka kulikomboa taifa as we speak, je sisi kama Watanganyika …. What are we offering as a Back up to our prophets kama Lisu etc etc ?
Magu alisema MTANIKUMBUKA !!View attachment 3441676State capture.
We mwehu hiyo nchi yako haipo kwenye ramani. Wapumbavu km ww ndio JF inawapenda. Unabwabwaja ujinga sijui unajisikiaje. Mtu mbaguzi km ww hafikagi kokote.Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika
Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa kuumiza sana!
Taswira zilizojitokeza pale Mlimani city kwenye hafla ya harambee ya CCM... Lile kundi mliloliona lote, ni nani Kati yao
Atapenda katiba mpya kwa maslahi ya wote?
Atapenda uchaguzi huru wa wazi na wa haki?
Atapenda kuiona ccm inapigwa chini?
Atapenda kuiona CHADEMA chini ya Lissu na Heche inashinda uchaguzi mkuu?
Kushindwa kwa ccm na kushinda kwa CHADEMA kuna maana moja tu kwao! Mwanzo wa mwisho wa kuliibia taifa la Tanganyika!
Mwisho wa rushwa za kutisha
Mwisho wa ufisadi wa kutisha
Mwisho wa kuuza rasilimali za Tanganyika kwa bei sawa na bure! nknk
Kwenye ulaji na kujipata ni heri mara million mia upambane na fukara asiye na kitu kuliko tajiri aliyejipata kwa dhuluma, wizi na ufisadi
CHADEMA chini ya Lissu na Heche kushika madaraka ya Tanganyika kutahatarisha maslahi yao vibaya sana! Hili kundi liko tayari KUFANYA CHOCHOTE KIBAYA ili ccm ibaki madarakani.. !
Kwa hofu ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche ndio maana wanafanya kila mbinu chafu kuangamiza hiki chama na viongozi wake.. Barua ya Lissu ya jana toka gerezani inaumiza sana sana!
Kundi la mtandao limejipanga hasa kutoka sasa mpaka 2050 na kuendelea.. Limejipanga toka chini mpaka juu kabisa! Kelele za Watanganyika kwao ni kejeli kubwa
Kuna tetesi zisizokoma kwamba uchaguzi umeshakwisha na nani atakuwa wapi na kwenye nini tayari mikeka imeshapangwa! Hivyo iwe mvua liwe jua ni lazima kundi la mtandao liibuke kidedea kwa mtazamo wao
Wana pesa, wana vibaraka wana chawa kwanini washindwe ? Tumewapoteza ndugu zetu wengi sana waliojaribu kupaza sauti zao kwa ajili yetu.. Wengine wamepitia na wanapitia madhila makubwa kwa ajili ya Tanganyika
Wengine wamepata ulemavu wa kudumu
Wengine wamebambikiwa kesi zisizo na dhamana
Wengine wameacha yatima na wajane nknk.. Yoote kwa ajili ya kuipigania Tanganyika!
Safari ya kuikomboa Tanganyika si lelemama ni ngumu na iliyojaa kila aina ya hatari kwakuwa inapora ulaji na madaraka ya walafi wasio na chembe ya uchungu na hili taifa!
Mungu pekee ndiye anaweza kuamua huu ugomvi! Tuzidishe maombi maana kukichwa kutambazuka..!!!
View attachment 3441658
Uchafu ulioozaNilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika