Tuna safari ndefu ngumu na ya hatari watanganyika kujinasua toka kwenye makucha ya wana mtandao

Hawa wapumbavu hawakujua, kukata chain ya hawa ALLIGATORS ilihitaji umafia wa mtu kama Magu hata mara 10 zaidi. Bahati mbaya watu hawakuiona kesho.

Kukata hiyo chain ya wanamtandao itachukua miaka mingine 100, yaani mwaka 2100 ndio anaweza kutokea mtu/watu wa kuisambaratisha ccm na genge lake, as of now...tuendelee kuumizwa tu
Brother this is poor excuse!

Kukata hiyo chain ya wanamtandao itachukua miaka mingine 100, yaani mwaka 2100 ndio anaweza kutokea mtu/watu wa kuisambaratisha ccm na genge lake, as of now...tuendelee kuumizwa tu
 
Huna hoja na huna Cha kujibu Kwa sababu unasukumwa na chuki binafsi
Sina chuki na ukwasi wa mtu tafadhali elewa hilo. Tunachopigania ni Tanganyika huru itakayowafaidisha hata wanao.. Hizo chenchi mnazopewa kutetea ujinga hazitawafikisha popote
 
Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika

Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa kuumiza sana!

Taswira zilizojitokeza pale Mlimani city kwenye hafla ya harambee ya CCM... Lile kundi mliloliona lote, ni nani Kati yao

Atapenda katiba mpya kwa maslahi ya wote?
Atapenda uchaguzi huru wa wazi na wa haki?
Atapenda kuiona ccm inapigwa chini?
Atapenda kuiona CHADEMA chini ya Lissu na Heche inashinda uchaguzi mkuu?

Kushindwa kwa ccm na kushinda kwa CHADEMA kuna maana moja tu kwao! Mwanzo wa mwisho wa kuliibia taifa la Tanganyika!

Mwisho wa rushwa za kutisha
Mwisho wa ufisadi wa kutisha
Mwisho wa kuuza rasilimali za Tanganyika kwa bei sawa na bure! nknk

Kwenye ulaji na kujipata ni heri mara million mia upambane na fukara asiye na kitu kuliko tajiri aliyejipata kwa dhuluma, wizi na ufisadi
CHADEMA chini ya Lissu na Heche kushika madaraka ya Tanganyika kutahatarisha maslahi yao vibaya sana! Hili kundi liko tayari KUFANYA CHOCHOTE KIBAYA ili ccm ibaki madarakani.. !

Kwa hofu ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche ndio maana wanafanya kila mbinu chafu kuangamiza hiki chama na viongozi wake.. Barua ya Lissu ya jana toka gerezani inaumiza sana sana!

Kundi la mtandao limejipanga hasa kutoka sasa mpaka 2050 na kuendelea.. Limejipanga toka chini mpaka juu kabisa! Kelele za Watanganyika kwao ni kejeli kubwa

Kuna tetesi zisizokoma kwamba uchaguzi umeshakwisha na nani atakuwa wapi na kwenye nini tayari mikeka imeshapangwa! Hivyo iwe mvua liwe jua ni lazima kundi la mtandao liibuke kidedea kwa mtazamo wao
Wana pesa, wana vibaraka wana chawa kwanini washindwe ? Tumewapoteza ndugu zetu wengi sana waliojaribu kupaza sauti zao kwa ajili yetu.. Wengine wamepitia na wanapitia madhila makubwa kwa ajili ya Tanganyika

Wengine wamepata ulemavu wa kudumu
Wengine wamebambikiwa kesi zisizo na dhamana
Wengine wameacha yatima na wajane nknk.. Yoote kwa ajili ya kuipigania Tanganyika!

Safari ya kuikomboa Tanganyika si lelemama ni ngumu na iliyojaa kila aina ya hatari kwakuwa inapora ulaji na madaraka ya walafi wasio na chembe ya uchungu na hili taifa!

Mungu pekee ndiye anaweza kuamua huu ugomvi! Tuzidishe maombi maana kukichwa kutambazuka..!!!
View attachment 3441658
Mtandao una kichwa, bila kukikata ni kazi bure!
 
Uhatari wake uko wapi? Siwezi shabikia upuuzi wenu wa watu maskini hamna chochote Cha maana mnaweza saidia au kufanya.
Baada ya kusema haya, rudi nyuma angalia familia yako, baba, mama, dada na kaka zako...nenda mbele zaidi angalia wajomba, mashangazi, baba wadogo, mama wadogo.

Utagundua kuwa, huenda hata wewe ni masikini na/au upo kwa chain ya watu masikini tu.

Baada ya kusema haya, amka usingizini, watu wanaangalia maslahi ya vizazi vinavyokuja coz kizazi chetu ndio kimepita hivyo.
 
Sasa ukichukia matajiri ndio hao uliowataja watakuwa na pesa? 😁😁
 
Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika

Mungu pekee ndiye anaweza kuamua huu ugomvi! Tuzidishe maombi maana kukichwa kutambazuka..!!!
Mkuu mshana naunga mkono hoja isipokuwa mstari wa mwisho, kwamba mungu pekee ataamua huu ugomvi, jitihada za wananchi binafsi pia zinahitajika ukiangalia mfano marekani raia wanawajibika kidogo, na hawahitaji kuwa na miaka mingi mfano aliyemshambulia Trump alikuwa na miaka 20 tu Thomas Mathew Crooks, au Inejirō Asanuma waziri mkuu wa japan alivyodungwa sime na Otoya Yamaguchi miaka 17 tu inabidi na sisi tuige huu utamaduni.
 
Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika

Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa kuumiza sana!

Taswira zilizojitokeza pale Mlimani city kwenye hafla ya harambee ya CCM... Lile kundi mliloliona lote, ni nani Kati yao

Atapenda katiba mpya kwa maslahi ya wote?
Atapenda uchaguzi huru wa wazi na wa haki?
Atapenda kuiona ccm inapigwa chini?
Atapenda kuiona CHADEMA chini ya Lissu na Heche inashinda uchaguzi mkuu?

Kushindwa kwa ccm na kushinda kwa CHADEMA kuna maana moja tu kwao! Mwanzo wa mwisho wa kuliibia taifa la Tanganyika!

Mwisho wa rushwa za kutisha
Mwisho wa ufisadi wa kutisha
Mwisho wa kuuza rasilimali za Tanganyika kwa bei sawa na bure! nknk

Kwenye ulaji na kujipata ni heri mara million mia upambane na fukara asiye na kitu kuliko tajiri aliyejipata kwa dhuluma, wizi na ufisadi
CHADEMA chini ya Lissu na Heche kushika madaraka ya Tanganyika kutahatarisha maslahi yao vibaya sana! Hili kundi liko tayari KUFANYA CHOCHOTE KIBAYA ili ccm ibaki madarakani.. !

Kwa hofu ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche ndio maana wanafanya kila mbinu chafu kuangamiza hiki chama na viongozi wake.. Barua ya Lissu ya jana toka gerezani inaumiza sana sana!

Kundi la mtandao limejipanga hasa kutoka sasa mpaka 2050 na kuendelea.. Limejipanga toka chini mpaka juu kabisa! Kelele za Watanganyika kwao ni kejeli kubwa

Kuna tetesi zisizokoma kwamba uchaguzi umeshakwisha na nani atakuwa wapi na kwenye nini tayari mikeka imeshapangwa! Hivyo iwe mvua liwe jua ni lazima kundi la mtandao liibuke kidedea kwa mtazamo wao
Wana pesa, wana vibaraka wana chawa kwanini washindwe ? Tumewapoteza ndugu zetu wengi sana waliojaribu kupaza sauti zao kwa ajili yetu.. Wengine wamepitia na wanapitia madhila makubwa kwa ajili ya Tanganyika

Wengine wamepata ulemavu wa kudumu
Wengine wamebambikiwa kesi zisizo na dhamana
Wengine wameacha yatima na wajane nknk.. Yoote kwa ajili ya kuipigania Tanganyika!

Safari ya kuikomboa Tanganyika si lelemama ni ngumu na iliyojaa kila aina ya hatari kwakuwa inapora ulaji na madaraka ya walafi wasio na chembe ya uchungu na hili taifa!

Mungu pekee ndiye anaweza kuamua huu ugomvi! Tuzidishe maombi maana kukichwa kutambazuka..!!!
View attachment 3441658
Hata Tundu na Heche wangekuwa na madaraka wasingekupa huo uhuru unaouongelea. Wangetengeneza sheria tu za kuhakikisha wao wenyewe hawatoki madarakani. Ni rahisi kusema ukiwa nje kuwa sheria hii ni kandamizi, lakini ukiwa mnufaika siyo rahisi.

Tumemuona Tundu mwezi mmoja tu alivyopata UWENYEKITI wa CHADEMA, ameshindwa kufanya reconciliation wenyewe wanaita kuponya majeraha ya makundi ya uchaguzi wa Januari 21, 2025. Tundu ameshindwa kusikia ushauri wa wanachama wengine hadi kuzalisha kundi la G55 baada ya kutofautiana kwenye NRNE. Tumeona Tundu akifukuza wakurugenzi wa idara mbalimbali ambao hakubaliani maoni bila hata kuwasikiliza. Mitandao HAIKWEPEKI BALI INAZIDIANA nguvu tu. Hata CCM ya sasa hivi kuna mitandao 4;- (1) Mtandao Orgino (2) Mtandao wa Sukuma Gang (3) Mtandao wa Februari ma-ropes na (4) Mtandao wa yule mvaa tai wa Iramba.

Hata CHADEMA nao walikuwa na mtandao, ila mtandao wa Tundu ukaushinda mtandao wa FAM. Bila MITANDAO huwezi kupata uongozi wa nchi hii.
 
Hapa ndipo kuna kesi ya Lissu.
Unafikiri ni kesi ya kisiasa au ya rasilimali za nchi? Hapana?
Kule Makambako Lissu alipotoa ile hotuba na kumkumbuka Kambona,hawa watu waliitana haraka.
 
Hapa ndipo kuna kesi ya Lissu.
Unafikiri ni kesi ya kisiasa au ya rasilimali za nchi? Hapana?
Kule Tunduma Lissu alipotoa ile hotuba na kumkumbuka Kambona,hawa watu waliitana haraka.
Yana mwisho
 
Bahati mbaya Umoja wa maskini (wanyonge) husambaratishwa na rushwa. Kwahiyo hao wenye nacho wakiwa na lao jambo litafanikiwa tu
 
Hata Tundu na Heche wangekuwa na madaraka wasingekupa huo uhuru unaouongelea. Wangetengeneza sheria tu za kuhakikisha wao wenyewe hawatoki madarakani. Ni rahisi kusema ukiwa nje kuwa sheria hii ni kandamizi, lakini ukiwa mnufaika siyo rahisi.

Tumemuona Tundu mwezi mmoja tu alivyopata UWENYEKITI wa CHADEMA, ameshindwa kufanya reconciliation wenyewe wanaita kuponya majeraha ya makundi ya uchaguzi wa Januari 21, 2025. Tundu ameshindwa kusikia ushauri wa wanachama wengine hadi kuzalisha kundi la G55 baada ya kutofautiana kwenye NRNE. Tumeona Tundu akifukuza wakurugenzi wa idara mbalimbali ambao hakubaliani maoni bila hata kuwasikiliza. Mitandao HAIKWEPEKI BALI INAZIDIANA nguvu tu. Hata CCM ya sasa hivi kuna mitandao 4;- (1) Mtandao Orgino (2) Mtandao wa Sukuma Gang (3) Mtandao wa Februari ma-ropes na (4) Mtandao wa yule mvaa tai wa Iramba.

Hata CHADEMA nao walikuwa na mtandao, ila mtandao wa Tundu ukaushinda mtandao wa FAM. Bila MITANDAO huwezi kupata uongozi wa nchi hii.
Sio mitandao ya kifisadi na kipigaji lakini
downloadfile-9.jpg
 
CHADEMA kazi wanayo.
Hivi ile kamati ya BAZECHA haikufaa? Mbowe alipoitwa hakusema anaendelea kupumzika?
 
Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika

Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa kuumiza sana!

Taswira zilizojitokeza pale Mlimani city kwenye hafla ya harambee ya CCM... Lile kundi mliloliona lote, ni nani Kati yao

Atapenda katiba mpya kwa maslahi ya wote?
Atapenda uchaguzi huru wa wazi na wa haki?
Atapenda kuiona ccm inapigwa chini?
Atapenda kuiona CHADEMA chini ya Lissu na Heche inashinda uchaguzi mkuu?

Kushindwa kwa ccm na kushinda kwa CHADEMA kuna maana moja tu kwao! Mwanzo wa mwisho wa kuliibia taifa la Tanganyika!

Mwisho wa rushwa za kutisha
Mwisho wa ufisadi wa kutisha
Mwisho wa kuuza rasilimali za Tanganyika kwa bei sawa na bure! nknk

Kwenye ulaji na kujipata ni heri mara million mia upambane na fukara asiye na kitu kuliko tajiri aliyejipata kwa dhuluma, wizi na ufisadi
CHADEMA chini ya Lissu na Heche kushika madaraka ya Tanganyika kutahatarisha maslahi yao vibaya sana! Hili kundi liko tayari KUFANYA CHOCHOTE KIBAYA ili ccm ibaki madarakani.. !

Kwa hofu ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche ndio maana wanafanya kila mbinu chafu kuangamiza hiki chama na viongozi wake.. Barua ya Lissu ya jana toka gerezani inaumiza sana sana!

Kundi la mtandao limejipanga hasa kutoka sasa mpaka 2050 na kuendelea.. Limejipanga toka chini mpaka juu kabisa! Kelele za Watanganyika kwao ni kejeli kubwa

Kuna tetesi zisizokoma kwamba uchaguzi umeshakwisha na nani atakuwa wapi na kwenye nini tayari mikeka imeshapangwa! Hivyo iwe mvua liwe jua ni lazima kundi la mtandao liibuke kidedea kwa mtazamo wao
Wana pesa, wana vibaraka wana chawa kwanini washindwe ? Tumewapoteza ndugu zetu wengi sana waliojaribu kupaza sauti zao kwa ajili yetu.. Wengine wamepitia na wanapitia madhila makubwa kwa ajili ya Tanganyika

Wengine wamepata ulemavu wa kudumu
Wengine wamebambikiwa kesi zisizo na dhamana
Wengine wameacha yatima na wajane nknk.. Yoote kwa ajili ya kuipigania Tanganyika!

Safari ya kuikomboa Tanganyika si lelemama ni ngumu na iliyojaa kila aina ya hatari kwakuwa inapora ulaji na madaraka ya walafi wasio na chembe ya uchungu na hili taifa!

Mungu pekee ndiye anaweza kuamua huu ugomvi! Tuzidishe maombi maana kukichwa kutambazuka..!!!
View attachment 3441658
Tumekwisha
 
Back
Top Bottom