"Lakini tumeamua tuseme ukwel". Pigia mstari hapo“Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa sana lakini tumeamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania sasa lazima waelewe kuwa tunakabiliwa na changamoto kubwa” - Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu
Kwahiyo sasa ndio mmeamua kusema ukweli..?!
Mkuu umeficha jambo kubwa sana ! sisi wenye vipaji maalum tumekuelewaPamoja na yote dada ummy wa watu yupo kwenye wakati mgumu sana. Kwenye hayo maombi yenu mumuombee pia.
aombe msamahaHivi yule mgonjwa wa kwanza kufanyiwa interview live mbele ya media lukuki sababu ilikuwa nini!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Raha yenu ni aseme total lockdown? Hiyo haiwezekani maana hata majirani zetu hapo malawi inaelekea kukataliwa..Mkuu analiyekaa mkao wa kula yupo chattle, ujasiri wa kuwa likizo katika muda Kama huu kiongozi wa nchi unaupata wapi kwanza?
Tanzania mnaichukulia kama iko ktk G20, haya ni madhara ya kuwa na international exposure.Baada ya Marekani kuituhumu China kuficha taarifa na kukata Msaada kwa WHO naona kumekucha sasa, kifuatacho ni Katibu mkuu wa WHO kuachia ngazi. Beberu kaamua kuwaamsha watu na China haitaaminiwa na dunia maana kama daktari wao alietoa taarifa za awali kuhusu Corona na wakamkamata, ni nani atawaamini Wachina kwa taarifa zao za vifo? Baada ya Marekani kutishia kufanya uchunguzi ndio China kaongeza Idadi na New Case zimeongezeka mpaka kufikia watu 116 badala ya awali watu 2 au mtu 1.
Sasa watu wameshtuka baada ya Marekani kumalizana na China nani atakaefuata? Bora Ukweli maana hata kimataifa hatutaaminika
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau na wewe umejijumuisha ktk kufa, sio mbaya.Mliambiwa mfunge mipaka mkajifanya vichwa ngumu sasa Watanzania tutakufa wote na tulivyo na mahusiano mabovu na nchi za ulaya tutakufa kama kuku, hili ndiyo magufuli alicho kuwa anakitaka
Wewe ukijua yupo wapi inakuhusu nini?Kwani Magufuli yupo wapi now
Duuuh. Wabongo kwa kupiga ramli hamjamboNikweli maana wasipo sema ukweli bifo vitawaumbua na pia mkono wa sheria ndio maana china kabadilisha data ghafla anajuwa what next. Note unapoficha taarifa nyeti kama hizi dunia inakuadhibu. China ajiandae kisaikolojia kulipa Trilion of Usd... Keep cool
....kabisa hata hayo maneno aliyotamka yanaweza gharimu ugari wake kaamua kuwa mkweli bila kujali utamgharimu kiasi ganiPamoja na yote dada ummy wa watu yupo kwenye wakati mgumu sana. Kwenye hayo maombi yenu mumuombee pia.
...kule huwa naisi kuna vichwa panzi wengi wa irambaKule Twitter wale wa ndio mzee walimtusi sana Kigogo pale aliposema ukweli leo wameumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni la boss aliyejificha poriniPamoja na yote dada ummy wa watu yupo kwenye wakati mgumu sana. Kwenye hayo maombi yenu mumuombee pia.
...😀😀😀 Kwasasa tuko kwenye maombi usitujaribu🙄Tusitishane
...ndio maana niliposikia ushauri wa waziri wa mambo ya ndani alietumbuliwa akisema wafiche idadi ya wagonjwa nikasikitika sana Kama msomi mwenye PhD anawaza namna iyo hivi atakuwa alifanya madudu kiasi gani alipokabiziwa ofisi kubwa ya umma.....naanza kuamini tumbua tumbua ya jpm huwa iko sahihiNikweli maana wasipo sema ukweli bifo vitawaumbua na pia mkono wa sheria ndio maana china kabadilisha data ghafla anajuwa what next. Note unapoficha taarifa nyeti kama hizi dunia inakuadhibu. China ajiandae kisaikolojia kulipa Trilion of Usd... Keep cool
Tanzania mnaichukulia kama iko ktk G20, haya ni madhara ya kuwa na international exposure.
Tanzania mnaichukulia kama iko ktk G20, haya ni madhara ya kuwa na international exposure.