Michaelmakene
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 236
- 322
....hapo ukiwaza Sana unaweza kulia...inamaana uko nyuma alichokua anakisema haukuwa ukweli? akumbuke tuko kwenye maombi ya siku 3 Kama tumeingia kwenye maombi na uongo MUNGU hashughuriki na wenye ndimi mbili"Lakini tumeamua tuseme ukwel". Pigia mstari hapo
sihitaji kitu.
Nani kasema hivyo?
Amana ishakuwa full tayariBado vifo maana huko MLONGANZILA tunaambiwa kila siku corona inaondoa watu
Kwani Magufuli yupo wapi now
Umetoa wapi hii habari?Mimi na wewe hatujui ila habari ndio hiyoooo
Amana Hospital tayari ishakuwa loadedBado hatujachelewa kupiga lockdown Dar es salam na Zanzibar, siku 21 zitatosha kutokomeza Corona.
Serikali ifanye maamuzi haya haraka kabla hospitali zetu hazijazidiwa ili kuwwka urahisi kwa wagonjwa waliopo vinginevyo hospitali zitafurika na watu wengi watapoteza maisha.
Let's do it very fast hatujachelewa.
Ni bora weseme ukweli
China inaingia gharama kubwa ya kuaminika duniani kutokana na tabia zao za uongo uongo
Hilo ni kweli kabisa si kutajwa rais tu bali na waziri Ummy wakukumbukwa sana dada wa watu halali kabisaPamoja na yote dada ummy wa watu yupo kwenye wakati mgumu sana. Kwenye hayo maombi yenu mumuombee pia.
Mkuu kwani kuna mtu wako huko MLONGAZILA unaye mfahamu kaondoka?Bado vifo maana huko MLONGANZILA tunaambiwa kila siku corona inaondoa watu
Nchemba aliposema takwimu zisitajwe, mlimpigia makofi na kumuunga mkono!
Ummy amesema ukweli usemwe, napo mmo!
Hivi nyie makada wa chama joka a.k.a mataga mna matatizo gani lakini...!?!
Vigeugeu sana nyie...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Utamwona kwenye kuzindua madaraja, barabara, stieglers Gorge, na SGR. Mengine utakuwa unamwonea tuKwani Magufuli yupo wapi now
Je, ukitangulia? Utawasubiria wapi?Hata kwenye vifo tunawasubiri,
Na kuwa na hofu na kutapatapa juu ya sala za maonyesho!“Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa lakini tunaamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania lazima waelewe kwamba changamoto hii ipo na kila mtu sasa kwa nafasi yake, kama kulikuwa na mtu anadhani tunatania ni wakati wa kuchukua hatua”- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu
Kwahiyo sasa ndio mmeamua kusema ukweli..?!
Kwa maandishi haya unaweza ukadhani umejibu hoja ya kuwepo au kutokuwepo wagonjwa wengi na vifo vingi zaidi ya hao/hivyo vinavyotangazwa na serikali, lakini ukweli ni kwamba hujibu chochote.Ajabu sana kwamba humu Jf hakuna hata member mmoja ambaye ana ndugu katika hao wagonjwa wengi wa corona tunaofichwa na serikali wala hakuna member aliyefiwa na ndugu wala rafiki kwa kifo chenye kuhusishwa na corona. Yani humu wote tunasikia tu wagonjwa wa corona ni wengi na vifo ni vingi.
“Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa lakini tunaamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania lazima waelewe kwamba changamoto hii ipo na kila mtu sasa kwa nafasi yake, kama kulikuwa na mtu anadhani tunatania ni wakati wa kuchukua hatua”- Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu
Kwahiyo sasa ndio mmeamua kusema ukweli..?!
Utasubiri sana!Hata kwenye vifo tunawasubiri,