Kwa wale wanaohitaji maji kwa matumizi ya nyumbani au kwenye miradi mbalimbali. Sasa tambua matumizi yako kisha nunua pampu kulingana na uhitaji wako.
Tunauza jumla jumla kuanzia pc tano na rejareja ukiitaji chini ya idadi hiyo.
zipo pampu kwa matumizi ya visima virefu na vifupi.
zipo pampu kwa matumizi ya kutoa maji taka, hizi zitatumiwa hadi kwenye migodi midogo midogo.
zipo pampu kwa matumizi ya kuongeza pressure ya maji kutoka kwenye maji ya dawasco.
Vifaa vya kufungia pump kwa size zote utapata dukani kwetu, mfano: cable, rope, male connectors, poly pipe, T connector, elbow, seal cap, n.k. Mafundi wazoefu wa kufunga pampu na kuzifanyia repair pia wapo.
Pampu hizi zina nguvu tofauti tofauti kulingana na mahitaji na matumizi yake. Unaweza kuendesha pampu za maji kwa kutumia umeme wa jua, umeme wa kawaida au generator.
karibu upate pampu zinazodumu na kwa bei rafiki. Tupo Kariakoo-DSM , mikoani tunakutumia.
Pay after delivery ipo kwa DSM tu.
sms/call/whatsapp 0759600809 au 0699494650