Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

Je kuna pump yakusukuma maji toka mtoni ambako ni bondeni kupandisha shambani umbali wa mita 800..?
Kuna mzee yy amejenga visima kama vituo yani anayavuta maji toka bondeni yanaingia kisima cha kwanza kikijaa anahayamisha tena kuja kisima chapili,chatatu hadi yanafika shambani,binafsi naona nigharama hata yy naona kabisa inamchosha ..je ipo pump yakupushi moja kwamoja.?
Kama ipo gharama yake ipoje
Mkuu nitafute nikupe wazo uweze kuyafikisha hayo maji umbali wa mita 800 hadi shambani kwako ila hadi nikuhoji baadhi ya maswali na pia unipigie picha vitu ambavyo nitakuuliza, mi mwenyewe nilipata hiyo changamoto chanzo cha maji kilipo na shamba lilipo jiografia ya eneo ni Kama lako umbali wa mita 750 ila niliyafikisha maji bila shida tena kwa pampu ndogo, hebu nicheki 0754028641
 
Habari jf.

Moja ya njia ya kupunguza gharama za ujenzi ni kununua mzigo wa material kwa bei ya jumla. Sasa hapa kuna mchongo wa hizi plumbing fixture kama utanunua full set za toilet, washing basing, kitchen sink , dining sink, shower, n.k. Utapata kwa bei ya jumla kama wanayonunua wafanya biashara za hardware.

Karibuni usipitwe, njoo Godown Mikocheni.
CALL/ SMS/ WHATSAPP 0759 600809
Angalizo: kwa watu wa mikoani msiogope hamjatengwa, unaweza kuomba order quotation, ukafanya malipo bank, ukatumiwa mzigo wako.

IMG-20211214-WA0005.jpg
IMG-20211214-WA0016.jpg
IMG-20211214-WA0003.jpg
IMG-20211214-WA0004 (1).jpg
IMG-20211214-WA0007.jpg
IMG-20211214-WA0014.jpg

IMG-20211214-WA0006.jpg
IMG-20211214-WA0009.jpg
IMG-20211214-WA0008.jpg
IMG-20211214-WA0018.jpg
IMG-20211214-WA0002.jpg
IMG-20211214-WA0013.jpg
 
Kwa wale wanaohitaji maji kwa matumizi ya nyumbani au kwenye miradi mbalimbali. Sasa tambua matumizi yako kisha nunua pampu kulingana na uhitaji wako.

Tunauza jumla jumla kuanzia pc tano na rejareja ukiitaji chini ya idadi hiyo.
zipo pampu kwa matumizi ya visima virefu na vifupi.
zipo pampu kwa matumizi ya kutoa maji taka, hizi zitatumiwa hadi kwenye migodi midogo midogo.
zipo pampu kwa matumizi ya kuongeza pressure ya maji kutoka kwenye maji ya dawasco.

Vifaa vya kufungia pump kwa size zote utapata dukani kwetu, mfano: cable, rope, male connectors, poly pipe, T connector, elbow, seal cap, n.k. Mafundi wazoefu wa kufunga pampu na kuzifanyia repair pia wapo.

Pampu hizi zina nguvu tofauti tofauti kulingana na mahitaji na matumizi yake. Unaweza kuendesha pampu za maji kwa kutumia umeme wa jua, umeme wa kawaida au generator.

karibu upate pampu zinazodumu na kwa bei rafiki. Tupo Kariakoo-DSM , mikoani tunakutumia.

Pay after delivery ipo kwa DSM tu.

sms/call/whatsapp 0759600809 au 0699494650

images (22).jpeg
images (23)_1642649018819 (1).jpeg
 
Water pump yenye kutumia solar power, inayo weza fungwa mpira wa wa kupelekea maji wa nchi 3 mnayo na ina uzwaje?
 
Back
Top Bottom