Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani, nitawatembelea ofisini kwenu.hope hizo namba za simu hapo juu ni halisi.
KaribuShukrani, nitawatembelea ofisini kwenu.hope hizo namba za simu hapo juu ni halisi.
Mkuu nitafute nikupe wazo uweze kuyafikisha hayo maji umbali wa mita 800 hadi shambani kwako ila hadi nikuhoji baadhi ya maswali na pia unipigie picha vitu ambavyo nitakuuliza, mi mwenyewe nilipata hiyo changamoto chanzo cha maji kilipo na shamba lilipo jiografia ya eneo ni Kama lako umbali wa mita 750 ila niliyafikisha maji bila shida tena kwa pampu ndogo, hebu nicheki 0754028641Je kuna pump yakusukuma maji toka mtoni ambako ni bondeni kupandisha shambani umbali wa mita 800..?
Kuna mzee yy amejenga visima kama vituo yani anayavuta maji toka bondeni yanaingia kisima cha kwanza kikijaa anahayamisha tena kuja kisima chapili,chatatu hadi yanafika shambani,binafsi naona nigharama hata yy naona kabisa inamchosha ..je ipo pump yakupushi moja kwamoja.?
Kama ipo gharama yake ipoje
Mna fanya maintainance kama raha imeisha au350k pump only
complete na pipe zake 420k
watts ngapiitakufaa peripheral pump chagua
0.5 hp ni 160000/=
0.75 hp ni 170000/=
View attachment 1979266
pipe moja inaenda kisimani inavuta maji na pipe ya pili inaenda peleka maji kwenye reservoir yako .
Hii inavuta maji na kusuka kwa wakati mmoja?itakufaa peripheral pump chagua
0.5 hp ni 160000/=
0.75 hp ni 170000/=
View attachment 1979266
pipe moja inaenda kisimani inavuta maji na pipe ya pili inaenda peleka maji kwenye reservoir yako .
Mchina piwaI've vifaa vyenu NI Brand gani
Lesso na SawaI've vifaa vyenu NI Brand gani
Yah quality fixtures from ChinaMchina piwa