Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

You are logically right, on the other hand, she has an emotional buggage and somebody has to unpack, infact they should both workout to fix, it should be taken as her problem only....
If I had a burden to unload then I wouldn't impose it on my partner.

It would be too hefty on him. Unless he caused it.
 
If I had a burden to unload then I wouldn't impose it on my partner.

It would be too hefty on him. Unless he caused it.
So much as they are partners, chances are, he will be a victim of circumstances even if he never caused, I mean he will be affected...

Why not stepping into the shoes of his partner trying to workout things? this is for great cause, because their relationship is at stake here...

It is either they are both victims or victorious...
 
Mapenzi HUISHA.
Yani ni vile tu tunaamini kwa kuwa tupo muda mrefu basi we must marry.

Mapenzi HUISHA, na HUISHA hasa.

Mtendee hugo kaka haki, usiendelee na hiyo hatua anayofikiri mko wote sawa.

Shida ni kuwa HATUJAKUZWA NA KUFUNDISHWA KUPOKEA REJECTIONS KWENYE MAJUSIANO..

Hapo itakuwa beef, kulia ,kutukanwa, kusemwa umalaya, vurugu, nyumbani nako wasikuelewe kwanini unakataa ndoa.
Basi mradi tafrani.

Mungu awatetee wote wawili.
 
Swala la kawaida bro,ndoa ni zaidi ya hisia za mapenzi,kwenye ndoa baada ya Muda mrefu kukaa pamoja,Hari ya kuonana wa kawaida na hisia kupungua huwa ya kawaida,la msingi ni kwamba na la kujiuliza huyo bi dada,unaweza kuishi nae?mapungufu yake unaweza kuyavumilia?maana hauoi maraika!
 
Hii hali ni mbaya sana yani, kuna connection ya kumchoka mpenzi na jini mahaba lakini! Ilibidi nikatafute ufumbuzi wa hili tatizo kwa njia za kiroho. Ilisaidia kwa namna flani maana hali ilikuwa tete
 
When reality kicks in ndio balaa huanzia hapo
 
Its true ila dah wanawake hawanaga hili na hapo ndio roho wa kuchepuka huanzia
 
mkuu kuna muda mambo haya hutokea with no reason, utakuta mwenza anafanya kila kitu ajili yako bt hata hisia nae unakua huna...

kuna wakati wife nilikuaga namuona kama kibwengo bt baada ya kuanza kumshirikisha mungu changamoto hii ilitoweka kabisa
Nakubali mkuu hii kitu maranyingi husababishwa na negative energies. Ni shetani anawapitisha katika mtego wake mkinasa tu mmevunja familia! Ni muhimu sana kumshirikisha mungu katika hii changamoto!

Nilitumia dawa za kisuni na maombi hali ikapungua kama si kuisha ila niligundua wife alikuwa na mdudu!
 
Damn!!!! five fuc...in years + full time sex n stuff!! Hapo ni kama tayari mlikuwa unofficial mume na mke...

Kama una nia ya kuoa au kuolewa na mtu, muda wa mahusiano usizidi miaka 2, ikizidi sana tena sana iwe miaka 3...
Watu wanaoana after 10 yrs! Upendo wa ukweli haufagi labda mmoja atupiwe kijini
 
Kero zipi jamani? Mwanamke tabia ya kumu ignore mume kwenye ndoa ni common na ndio anaanzaga ila mume akirespond kwa kumu ignore pia ndio huonekana mbaya
 
Naunga mkono hoja! Hii kama huyu mtoa hana mchepuko basi hili huwa ndio sababu
 
Huyu nina hakika ana jini mahaba, hili dude huwa lina attack sana wanandoa na wapenzi wanaoishi under one roof bila wao kujua ndio hujikuta nyumba imesambaratika mipango ya ndoa imekufa au ndani ya ndoa panawaka moto hamna amani ni stress tu!

Early signals ndio huwa hivyo.
Kwa KE
-Ghafla hamu ya mpenzi wako kupotea.
-Hisia juu yake kufa kabisa hata kama hana tatizo.
-Ndoto za ajabu kama vile mtu unamuona umelala naye ambaye humjui.
-Ukisex nae unapata maumivu makali hivyo sex nae unakwepa kwepa always.
-Akiwa mbali unam miss ila akiingia ndani tu mjengoni unageuka mbogo, ugomvi na makelele mtindo mmoja.

Kwa Men:
-Kuhisi mke ni kero tu bila sababu.
-Kupoteza nguvu za kiume ghafla,kuna muda una hamu ila ukitaka kumuingilia wife mboo inanywea ghafla bila sababu au inasinyaa baada ya kuchomeka tu!
-Kupoteza nguvu za kiuchumi, mabalaa na mikosi kukuandama ili tu uharibikiwe maisha usiendelee kufurahia uhusiano huo.
-Kuhisi hali flani ya msisimko wa mwili kila uingiapo ndani kwako aidha sebleni au chumbani, hii huashiria mdudu mnaishi nae ndani na hapo ndipo unapopishana nae.
-Hii hali ya kusisimuka pia hujitokeza hata ukienda sehemu yoyote inayofanyika maombi makali ya kidini au hata mkisali na mkeo home! Huashiria mdudu ameshakuvaa.
 
Kama ni hivyo, ndoa imevunjika hata kabla ya kufungwa mwanangu. Ni bora kuwa mkweli kuliko mnafiki na muongo.
 
Kwa mda mliokaa kwenye mahusiano hill ni suala la kawaida kabsa

Kiufupi hata ungekuwa na hisia nae kabla ya ndoa na baada ya ndoa na kuishi zingepungu tu ....vibes haziwi kama zile za uchumbani

Ndoa ina husisha mambo mengi sio mapenzi tu

Na hilo la kupungua hisia ni kawaida baada ya mazoea na ukienda kwa mwingine zitakuja kupungua after sometimes

Ndo maana ukienda kwa mchepuko una perform sanaa kuliko ndanii ilaa baada ya kumzoea inakuwa kawaida

Fanya kufunga ndoa na jamaa ili muishi mfanye maisha ...hisia zitakata hata utakako kwendaa
 
Do what is the best for the situation... Otherwise utaumia for the rest of ur remaining life....
Just imagine, kuwa unajilazimisha hivyo kila siku
Au imagine, familia ambayo watu ili mkwichi hadi muwashe brazzers...
Chukua hatua
Wanachohitaji hapa ni muda. kukaa mbali kwa muda. ili kuamsha ile tension.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…