Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
"Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha?
Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya nini? Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri.
Utampendaje mwanaume sura, mwanaume anapendwa na kitu alichonacho, anapendwa fedha", Mbunge wa Iringa (CCM), Jesca Msambatavangu
#MwananchiUpdates
#BungeLaBajeti2022