Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

Ndiyo mwanaume pesa..ila nasura kiduchu iwepo🤣🤣
72EFEF64-82D1-49C8-96CC-73E3775E05F1.jpeg

Mimi utanipokea eti eeh Mama angu?!
 
Hamchelewi kuomba tigo....hapana kwa kweli...mwenyewe nina kiu ivo nitakupendea hichohicho....nisugue nisepe.Maisha yenyewe hayahaya....ila kama ni mume majukumu lazima yanakuhusu
Nimecheka kifala sana. Sa mtaka cha uvunguni si sharti ainame
 
Huyo mama ana hoja ya msingi sana ila labda jinsi alivyoiwasilisha ndiyo tatizo
Watu wengi hawatomuelewa lakini yuko sahihi sana
Anasema watu hutembea na wanafunzi kuepuka gharama kwa kuwa wanafunzi hawana gharama na haya mambo yameshakuwa ki helahela zaidi na vijana hawana hela
So anaitaka serikali iwatengenezee vijana miundombinu ya pesa ili wa afford Haya mambo waachane na wanafunzi na ubakaji
Hoja kama hii ingetokea ulaya tungewaona wana akili lakini ni hapa hapa kwetu
Utasikia jitu likija kumkejeli huyu mama
 
Back
Top Bottom