Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

Kabisa...usijindanganye eti ooh huyu mwanamke ananipenda...hamna kitu kama hicho wananwake wanaangalia ndamala ipo wapi so na sie wanaume tuangalie tako lipo wapi
Yani unataka mikato hii siyo?

20211217142310.jpg
 
Usije ukadhani ni bahati mbaya kuitwa majina mengi Mara mawe,njugu,shekeli,mavumba nk siyo majina ya bahati mbaya haya,yanamaanisha ohoooo...
 
Back
Top Bottom