Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

Pole sana...usijali kwenye kikao chetu cha kufunga mwaka tutaliwasilisha ili tuangalie kwa namna gani tunaweza kuwapunguzia maumivu warembo maana kwa kweli nyie ni watamu na tunawahitaji
[emoji23][emoji23] sawa sawa
 
Ila na nyie kwenye kikao chenu mtufikirie ombi letu jamani la kuwa na wananwake japo watatu
Mie kama unatimiza wajibu wako kwangu kikamilifu hao wengine kuwa nao tu ila usiniletee magonjwa.
 
juzi kati shemeji/wifi yenu a.k.a mai waifu wangu kanipa show ya kibabe sana mpaka nikashangaa.

asubuhi kanipiga mzinga wa laki(nje ya ile ninayompa kila mwezi ya matumizi yake ya kawaida), anadai anadaiwa na shosti yake kazini kwao, alimkopa last month.

kishingo upande nikamuamishia mualamala wa laki moja na ya kutolea juu.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][mention]Kelsea [/mention]
Me sio mchoyo...ngoja nkuoneshe madin mywangu
 
Back
Top Bottom