Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri. Utampendaje mwanaume sura, mwanaume anapendwa na kitu alichonacho, anapendwa fedha", Mbunge wa Iringa (CCM), Jesca Msambatavangu
 
Hamchelewi kuomba tigo....hapana kwa kweli...mwenyewe nina kiu ivo nitakupendea hichohicho....nisugue nisepe.Maisha yenyewe hayahaya....ila kama ni mume majukumu lazima yanakuhusu
Mume majukumu yamuhusu, halafu mchepuko unajipipigia bure.
 
Huo ni kweli kama mwaume haupo well financialy hata namba usichukue geuza tu shingo angalia kalio la mtoto wa kike mwache aende zake na ukiwa fresh hapo kiburi unakuwa nacho hela ipo ,hapa Dar hali ni mbaya sana hata ile bei elekezi ya mwekundu wa msimbazi hawaitaki wanasema vita ya ukrein na Russia bidhaa zipo juu[emoji23][emoji23].
 
Naomba kwanza nijue maana ya "Mtambazavangu".

Inaweza kuwa na maana inayokaribiana na akisemacho.
 
Tatizo wanalia kupata wenye pesa watu cheat na wale ....
Inshort wanatafuta ulinzi na uhakika😂😂.
#Ana shida gani mbona analiwa na mtu wa hovyo.
 
Kijana/mwanaume yoyote anayeamini na kujisifia anapendwa na mwanamke na hampi kitu huyo ni mjinga na anahitaji kuulimiwa...

Wanawake wote wanakupenda kama una kitu cha faida kwake...
 
Kijana/mwanaume yoyote anayeamini na kujisifia anapendwa na mwanamke na hampi kitu huyo ni mjinga na anahitaji kuulimiwa...

Wanawake wote wanakupenda kama una kitu cha faida kwake...
Huo ndio ukweli wa mambo. Huyu mbunge kaongea ukweli tumpe tuu urais
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…