Wewe sasa unaleta ushabiki wa wazi, Mimi naunga mkono hoja haya mambo ya kufanya nyumbani kuwa kipaumbele sio sawa ni makosa makubwa labda ikiwa tu gharama za sherehe hazitoki serikalini zinachangiwa na watu tu, hapa nasema kama lakini kiujumla ni jambo baya halina tija wala muendelezo. JPM katika hili ndio kabisa alifanya mambo ya ajabu Chato, Runaway, mataa ya barabarani(Gari hakuna), ma bank na kutaka kugawa eneo la Kagera liingie Chato. Kiujumla tukemee yote yaliyofanywa na yanayofanywa kesho atakuja Rais kutoka Mara tutahamia Mara. JPM alikosea na mwanafunzi wake anakosea unless otherwise waseme hakuna cent ya serikali imetumika.