Pre GE2025 Tunajenga Utamaduni mbaya, tulianzia Chato sasa ni Kizimkazi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mleta mada kwenye kuponda kwake Kizimkazi festival katumia mfano wa Magufuli.

Wewe nae mtetezi wa Kizimkazi festival unatetea kwa kumponda Magufuli.

Ni hivi kwenye maamuzi yenu ya kipumbavu leo au yenye tija kwa mtazamo wenu (kwanini justification) ya maamuzi kuwa right or wrong lazima mumuhusishe Magufuli.

Kwanini msiseme hiyo Kizimkazi festival ina manufaa kwa sababu abc za uchumi wa Tanzania au aifai kwa sababu abc.

Magufuli anaingia vipi kwenye maamuzi ya kipumbavu au yenye faida leo.
Ubarikiwe sana! Nadhan ni bora wangekuwa wanamrefer kikwete ingependeza zaidi. Au kikwekwete hana alilofanya?
 
Zaidi ya hadithi ni kipi ambacho Magufuli alikifanya Chato kwa hela za serikali ambacho hakukifanya kwengine Tanzania.

Hadithi za upendeleo wa Chato zipo kwenye vichwa vyenu tu.

Ulishawahi sikia tamasha la Chato.

Magufuli hana mradi wa kupendelea Chato kwa hela za serikali; hoja pekee labda sio hata uwanja wa ndege (maana ni wa hovyo tu) labda runway yake inavyoweza pokea ndege kubwa.

Magufuli na Samia ni watu wawili tofauti.

Put respect on Magufuli’s name sio wa kulinganishwa na viongozi wenu wa hovyo.
Ni walewale tu.
 
Kujibizana na cult member wa Mbowe ni kupoteza muda.

Chadema sio chama cha siasa tena ni cult (only a cult can has unquestioning supporters) on their leaders decisions.

Sasa kueleweshana na mfuasi wa cult ya Mbowe huko ndio kutwanga maji kwenye kinu.
Naona unaipenda sana CHADEMA. Haijaguswa CHADEMA,wewe ni Mbowe na CHADEMA. Sasa nitakueleza kitu.Mimi ni CCM damu.Acha wewe kiherehere tu.Kwenye ujingaujinga nitasema muda wote.Elewa hilo.Sina tabia ya kuremba mwandiko kwenye taarifa za misiba.
 
Ubarikiwe sana! Nadhan ni bora wangekuwa wanamrefer kikwete ingependeza zaidi. Au kikwekwete hana alilofanya?
Si ndio hapo, watu wote hawafai kwao zaidi ya Magufuli.

Yaani kwenye kutafuta binary opposite. Wanaosifu na wanaoponda case study yao ya justification ni Magufuli.

Bizzare
 
Siku nchi ikipata akili pengine labda mimi na wewe tusiwepo ipo wahusika watajua pa kuanzia.

Kwa Tanzania hakuna namna nyingine zaidi ya njia aliyoanza nayo Magufuli.

Hakuna
Alikuwa na uthubutu ambayo ilikuwa ni sifa muhimu sana. Lakini kwa makusudi au bahati mbaya, alifanya makosa mengi sana ambayo yangelifanya juhudi zake zisiwe endelevu. Mojawapo ni la kuifanyia figisu sekta binafsi.
 
Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini.

Matokeo ni kuwa wanapo ondoka madarakani inageuka kama ile ya nyumbani kwa Mobutu maana ilikuwa kukurupuka.

Tumeona speed ya Chato kuibadili katika miaka mitano. Kuna vitu vilifanywa ambavyo sasa imegundulika ni matumizi mabaya ya rasilimali kwa ukubwa usio stahili.

Mfano Airport, Referral Hospital hadi majengo makubwa kama mabenki yasiyo stahili na mbuga za wanyama zisizo hadhi. Leo vyote vinakufa.

Sasa leo tumeanza na Kizimkazi! Miradi mingi inapelekwa kwa fedha zetu (tena za Bara kwa maeneo yanayostahili SMZ) nje ya budget kuu huku shughuli hizo zikichagizwa na mbwembwe nyingi za wasanii.

Hatubweki kama mbwa kuhusu maendeleo hayo bali ni utamaduni mbaya, maendeleo ni mipango na kupanga ni kuchagua, wehu ni pale unapochagua kununua Suti toka Piccadilly badala ya kununua godolo la kulalia kwanza.
Unabwabwaja tu bila hata kuitaja miradi hiyo
 
Bora ajenge bongo kuliko kupeleka hela ulaya
 
Huyu mama hatifautiani sana na Magufuli.
 
Tuna viongozi wa kijinga sn, Kwanini Nyerere na Mkapa hawakuwa na huu ujinga wa kupendelea wanakotoka?
 
SIO UTAMADUNI MBAYA:-

Tuliamua kama taifa ,Rais awe boss wa Kila kitu na afanye anavyojisikia akiwa madarakani,yaani Raise anafanya kufurahisha hisia zake na sio malengo makuu ya taifa !

Na vyombo vya ulinzi vilinde hisia zake bila kumuonya hata kama anakosea vikae kimya vimlinde na uozo wake!!

Hayo ndio maamuzi mabovu ya Dola yetu na jamhuri yanayoumiza Taifa letu!!
20240710_195953.jpg
 
Magu ndio muasisi wa haya makitu, ukimpenda Magu huna haja ya kumchukia huyu. Ni walewale kasoro jinsia.
 
Kila kiongozi akianza kuelekeza rasilimali za nchi kwao si sawa. Ni wakati sasa unafaa sheria itungiwe mambo hayo na hasa kuwekwa kwenye Katiba mpya.
 
Tutafika tumechoka sana...hawajifunzi kulingana na makosa, sasa hivi Kizimkazi imekua ndo habari ya mjini...watu weusi tunamatatizo sana.
Kule idada ya wananchi Haiti elf 2
 
Mleta mada kwenye kuponda kwake Kizimkazi festival katumia mfano wa Magufuli.

Wewe nae mtetezi wa Kizimkazi festival unatetea kwa kumponda Magufuli.

Ni hivi kwenye maamuzi yenu ya kipumbavu leo au yenye tija kwa mtazamo wenu (kwanini justification) ya maamuzi kuwa right or wrong lazima mumuhusishe Magufuli.

Kwanini msiseme hiyo Kizimkazi festival ina manufaa kwa sababu abc za uchumi wa Tanzania au aifai kwa sababu abc.

Magufuli anaingia vipi kwenye maamuzi ya kipumbavu au yenye faida leo.
Unaposoma habari yeyote na kutaka kuipa maoni yako angalia kwanza inahusiana na nini.
Hii inahusiana na "Utamaduni unaojengeka wa maamuzi makubwa walipotokea viongozi bila kufanya tafiti"
Rudi tena soma kwa picha hiyo utaelewa, hakuna anayekataa maendeleo bali isiwe miradi kama ile ya nyumbani kwao Mobutu
 
Back
Top Bottom