Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini.
Matokeo ni kuwa wanapo ondoka madarakani inageuka kama ile ya nyumbani kwa Mobutu maana ilikuwa kukurupuka.
Tumeona speed ya Chato kuibadili katika miaka mitano. Kuna vitu vilifanywa ambavyo sasa imegundulika ni matumizi mabaya ya rasilimali kwa ukubwa usio stahili.
Mfano Airport, Referral Hospital hadi majengo makubwa kama mabenki yasiyo stahili na mbuga za wanyama zisizo hadhi. Leo vyote vinakufa.
Sasa leo tumeanza na Kizimkazi! Miradi mingi inapelekwa kwa fedha zetu (tena za Bara kwa maeneo yanayostahili SMZ) nje ya budget kuu huku shughuli hizo zikichagizwa na mbwembwe nyingi za wasanii.
Hatubweki kama mbwa kuhusu maendeleo hayo bali ni utamaduni mbaya, maendeleo ni mipango na kupanga ni kuchagua, wehu ni pale unapochagua kununua Suti toka Piccadilly badala ya kununua godolo la kulalia kwanza.
Tumejenga uwanja wa ndege Chato kwa mabilioni badala ya kukamilisha wa Mwanza kuelekea kuwa wa Kimataifa ili kukuza utalii kanda ya ziwa ili kukuza na kufurahisha utamaduni wa kuchekesha viongozi?
Hili litaisha endapo kila eneo/mkoa utakuwa na mamlaka na rasilimali zake. Kwa sasa hela za gold toka Geita au mbao za Mufindi zinapelekwa Dodoma na kisha kuelekezwa kupelekwa KizimkaziKwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini.
Matokeo ni kuwa wanapo ondoka madarakani inageuka kama ile ya nyumbani kwa Mobutu maana ilikuwa kukurupuka.
Tumeona speed ya Chato kuibadili katika miaka mitano. Kuna vitu vilifanywa ambavyo sasa imegundulika ni matumizi mabaya ya rasilimali kwa ukubwa usio stahili.
Mfano Airport, Referral Hospital hadi majengo makubwa kama mabenki yasiyo stahili na mbuga za wanyama zisizo hadhi. Leo vyote vinakufa.
Sasa leo tumeanza na Kizimkazi! Miradi mingi inapelekwa kwa fedha zetu (tena za Bara kwa maeneo yanayostahili SMZ) nje ya budget kuu huku shughuli hizo zikichagizwa na mbwembwe nyingi za wasanii.
Hatubweki kama mbwa kuhusu maendeleo hayo bali ni utamaduni mbaya, maendeleo ni mipango na kupanga ni kuchagua, wehu ni pale unapochagua kununua Suti toka Piccadilly badala ya kununua godolo la kulalia kwanza.
Na hakuna anaye hoji. Hayo mambo ni local activities na yanapaswa kufanywa na SMZ lakini ni funds za serikali ya JMT ndio zina tumika.Huyu wa kizimkazi amewazidi wenzake wote Kwa kujipendelea .Kwa Sasa anajenga Samia sport academy Kwa mapesa ya Tanganyika.aAnachota tu pesa zetu na kuzipeleka huko uswekeni kizimkazi.
Hakuna kitu kimefanywa chato hakihitajiki au ni mpango mbovu. Kiwanja cha ndege ni mpango kila mkoa kua na kiwanja cha ndege. Sasa geita ina kiwanja kingine? Hospitali nayo utasema ni mpango mbaya? Acheni chuki. Hata huko kwa samia pengine ni miradi ipo kwenye mpango.Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini.
Matokeo ni kuwa wanapo ondoka madarakani inageuka kama ile ya nyumbani kwa Mobutu maana ilikuwa kukurupuka.
Tumeona speed ya Chato kuibadili katika miaka mitano. Kuna vitu vilifanywa ambavyo sasa imegundulika ni matumizi mabaya ya rasilimali kwa ukubwa usio stahili.
Mfano Airport, Referral Hospital hadi majengo makubwa kama mabenki yasiyo stahili na mbuga za wanyama zisizo hadhi. Leo vyote vinakufa.
Sasa leo tumeanza na Kizimkazi! Miradi mingi inapelekwa kwa fedha zetu (tena za Bara kwa maeneo yanayostahili SMZ) nje ya budget kuu huku shughuli hizo zikichagizwa na mbwembwe nyingi za wasanii.
Hatubweki kama mbwa kuhusu maendeleo hayo bali ni utamaduni mbaya, maendeleo ni mipango na kupanga ni kuchagua, wehu ni pale unapochagua kununua Suti toka Piccadilly badala ya kununua godolo la kulalia kwanza.
Magufuli ali set standard ya mfumo wa bottom-up( People's power) katika kuongoza nchi ndo maana alifaulu na kuua mfumo wa top-down aliouanzisha Nyerere na katiba yake mbovu .Siku nchi ikipata akili pengine labda mimi na wewe tusiwepo ipo wahusika watajua pa kuanzia.
Kwa Tanzania hakuna namna nyingine zaidi ya njia aliyoanza nayo Magufuli.
Hakuna
Ona zoba hili! Unajua naandika haya nikiwa wapi? Hujui, na nimefikaje huku!Ulishawahi kupanda ndege kweli wewe??
Aliyepanda ndege hawezi kuhoji umuhimu wa uwanja wa ndege Chato maana ndege zinatua kila siku
Mwendazake alikuwa zaidi ya kichaaTumejenga uwanja wa ndege Chato kwa mabilioni badala ya kukamilisha wa Mwanza kuelekea kuwa wa Kimataifa ili kukuza utalii kanda ya ziwa ili kukuza na kufurahisha utamaduni wa kuchekesha viongozi?
Huko mbali sana ,atatokea hapo Morogoro,Kijiji Cha Matombo,atakua na Matombo Festival, akija muhaya atakuja na Katerero FestivalAtatokea rais toka Nanyamba, halafu kutakuwa na Nanyamba Festival