Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

Nyinyi ni maua yetu sisi hivyo ni lazima muwe kama sisi tunavyo pendezwa kuwaona. Sasa mnataka muwe kama mnavyo hitaji nyie. Mwisho wa siku tunapoteza ule uzuri tulokua tunauhitaji kuuona.

Binafsi sipendi mwanamke anayejikwangua/ kujipara mnoo. Mnapoteza uhalisia wenu nyie. Acheni hayooo
 
Mkuu umenena vyema kabisa. Hujakosea. Hayo mambo yanatuharibia maua yetu haya..
 
Kinachowaumiza wanaume ni ndoa kuvunjika
zikiwa kwenye upya wake yaani miezi 3(umri mchanga)
ndoa kwishney,Unakuta mtu katinga mchina
kuanzia kichwani mpaka miguuni.
mtu anaingia mkenge anaona mke
si ndo huyu,mkiingia ndani kwenye ndoa
(Hapa naongelea wasiotaka habari za shake before use) nadhani naeleweka
Mke akisaula mapambo yote anakutwa....malizia wewe
Hapooooo ndo penye shida tu.
sina ugomvi na warembo,endeleene kupendeza ki-original
 
Mnajiremba mnakua kama majini. Ndo maana kwa TB Joshua wenye kuvaa mawigi waanguke mapepo.

Mawigi yana matatizo si bure
 
vlad jaman nimechekaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii yaan jaman najuta kusoma hiii eti mtoto wa jini !hahhahahahhhahaaahhahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kweli Mbitiyaza ,yaaan weee ushukuru kwa uzuri wako ulopewa ,,mtoto sura suraaaahhh ,,kiuno kidogo ,,, mihipsi sasa iyooooo ,,mikalioooo mamaaaaaa ,,, Guu sasaaa hatareee nizaidi ya biaaaa ,,, kifuani sasa ndo umeumbika aiseee chaaaaaaaaaa jaman weeeee kuna wanawake mmeumbika MBITIYAZA nakuheshimu sanaaaaaa mamaaaaàa .uwiiiiiiiiiiii..... Yaaaan sasa wewe usipojiremba bado nikifaaaaaaa yaaan nikikuonaga unapita Mzeee anasumbuaaaaa ,, ukijiremba ndo kabisaaaaaaa cheeeeeeeeeee ,,,, ndio maana nilishakuapia.[emoji160] [emoji160]


Ngoja niishie hapa .[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
mnajiremba kwa pesa zenu ama ela mnazohongwa na vibabu?
 
Unaposema mnatumia pesa zenu hapo ndio tatizo linapoanzia maana ni uongo ulioshiba [emoji23][emoji23]
 


jaman jaman ! kweli wanetu mmefikia kutuambia maneno ya ajabu kama haya? dah ! aiseee!
 
KinacHoTuumiza Dada Yangu Ni Kitu Kimoja Tu !!!! HARUFU Yes HARUFU yani Harufu Ya "K'

1.KICHWA. Hayo Mawiving Mnayoshonea Na Urembo Mwingine Mkiingia Bafuni Mnakuwa Kama Mmeingia LABORATORY (principle) Mnaoga Baadhi Ya Sehemu Zingine Mnaziacha Kavu Kama Zilivyo Hyo HARUFU sasa

2.Kucha Za Ku paste me Siiti Za Kubandika Hivi Hiyo Kucha Ukiingiza Wakati Wa Kujisafisha Hivi Kweli Ina Pita Mmmh Mwisho Wa Siku Unabaki Na HARUFU Ya Kambale
" Urembo Hamkatazwi Ila Uwe Wa Kiasi Msizidishe Viungo Wanaume Tunahitaji Sana Uzuri Wa Ndani.»Wife Material «
 
Wanapenda sana wanajishauaga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…