Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

Jifariji tu sio mbaya.
 
Sawa njoo kariokoo na kimini chako on foot ujue mwili ni wako au ni waTaifa
 
Kwani imekuwaje mipovu mingi mleta habari kapatwa au
 
Mnakuwa wabaya sasa, mnazidisha kujiremba sana si tumezoea tukiona mwanamke njiani unadinda kdg na kufurahi kimoyomoyo sasa matokeo yake mnakuwa mabayaaaa yani unamuona mwanamke ht usikii raha khaaa
 
Jamn wewe ni muhenga 100%
 
Natural is where real beauty is.
Kuweni natural, sio kila kitu FAKE, yani kope FAKE, kucha FAKE, nyusi FAKE. Hadi papuchi FAKE.
 
Sawa kama uzuri unao sasa hayo makolokolo yote uliyoyataja yote yanini na unajiremba iri iweje mtoto wakike umeumbika vizuri saana acha namakolokolo wee mzuri tuu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mwajiremba au mwajikoboa?
 
Sawa njoo kariokoo na kimini chako on foot ujue mwili ni wako au ni waTaifa
Wewe ndo wale watu wa promotion tuko baa tunakunywa unakuja kutuuzia rozari. Sasa kimini kimekuja vipi wakati tunaongelea mapambo hapa?
 
Wewe ndo wale watu wa promotion tuko baa tunakunywa unakuja kutuuzia rozari. Sasa kimini kimekuja vipi wakati tunaongelea mapambo hapa?
Kwa coment hii motoni wewe utakuwa kuni za kutuchoma wenye dhambi.
 
Hayaa lakin kuna wanawake wanajipodoa utafikiri hatopaka tena vipodozi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti tikitiki
Na hatukasiriki ng'oo [emoji125][emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana mkuu
 
Siku mama Danny akijaribu ujinga huu kama sio kumrudisha kwa baba yake basi atajikuta kijijini kwa bibi yake akimfundisha urembo mzuri kwa mwanamke!
 
Siku mama Danny akijaribu ujinga huu kama sio kumrudisha kwa baba yake basi atajikuta kijijini kwa bibi yake akimfundisha urembo mzuri kwa mwanamke!
Hebu cheki jicho hilo.....jhomoniiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…