Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

Tatizo mnavyojiremba, vitumbua vyenu ndivyo vinapata shida.
 
Eti atakayekasirika anye tikiti

Hahahahaha
 
na hayo marembo yotee kwa ajiri ya nani akuone..??..ngedere au tumbiri ndio unaowarembea..??. la hasha ni wanaume ili wakuone mrembo na wavutiwe na wewe maana ninyi ni mapambo kwetu...sasa hao mnaojiremba kwa ajiri yao wamechoshwa na kujiremba kwenu kulikopitiliza mpakankero kiasi mnaonekana kama wadori..!!!! hayo mambo mengine ya kujilinganisha na wanaume ni utashi wenu tuu.....
kwa hiyo ndi hivyooooo......
 
Ingekuwa tunajiremba kwa ajili ya wanaume tungeacha maana wao kutwa kutusakama. Ila tunajifanyia sisi wenyewe ndo maana tunaomba tuachwe tu..
 
Ingekuwa tunajiremba kwa ajili ya wanaume tungeacha maana wao kutwa kutusakama. Ila tunajifanyia sisi wenyewe ndo maana tunaomba tuachwe tu..

kuachwa huwezi kwa sababu hii ni societal issue sio ya wanawake pekee. unapofanya au unapoacha kufanya jambo Fulani kama mwanamke lazima liatttract attention ya wanaume. sasa ni uchaguzi wenu tu kama kufanya yatakayokuwa na positive effect kwenu au negative ones. mfano ukijiremba namna Fulani mwanamme akakuchukulia wewe changu (kama kwenye main photo) usimlaumu. na ukijipaka mafuta ya wastani nikakuona mke wa mtu nikakuheshimu shukuru tu.
 
Changu kisa makeup tu? Aisee nimeamini its a man's world, kila jumba bovu linaangushiwa kwa wanawake
 
Unapoongelea wanaume kuwa specific kwa kundi la hao wanaume, wataje ili usituhumu kwa jumla jumla kama mtu ambaye hana elimu. Kwa maana unaweza kushutumu wanaume jumla wakati kuna wengine ambao hata hatujui kama mpo duniani.

Tuko busy na wake zetu.

Na wengine mkijiremba mnatokea kama manyonya damu ya kwenye movies za kutisha za Dracula.

Sasa mtu ukijiremba na kuonekana kama mnyonyadamu wa kwenye movie za kutisha, kibwengo cha ajabu au kinyamkela cha uchawi, ukatisha watu wapate ndoto mbaya, wakikusema wana haki ya kukusema.
 
Changu kisa makeup tu? Aisee nimeamini its a man's world, kila jumba bovu linaangushiwa kwa wanawake
sina hakika kama ni man's world. I would say it's a people's world. unajua men are given birth by women sasa sijui ni at what stage women forget to train their boyz into the right attitude. only to come and blame men. bora tu tuchukulie life is like that. but you can't easily change what a man wants to perceive in a woman at the first glance, make up included.
 
Asante kwa contradiction ya karne.
 
Asante kwa contradiction ya karne.
Apparently hyperbole is your middle name.

Ukiwa hujui kusoma unaweza kuona contradiction sehemu ambayo haipo.

Mimi sikujui wewe na kama mwanamme, umenilundika katika kundi nisilopo.

Pia, kuna wanawake wana apply makeup wanatokea wanatisha kama wanaenda ku act katika movie za wanyonya damu. Nawaona. Nikiwaona na kufikiri hivyo nina haki ya kueleza hilo. Kwa hiyo mwanamke akiweka makeup vibaya tunasema.

Hapo contradiction iko wapi?

Unaelewa contradiction ni nini?

Unaweza kuchora truth table kuonyesha contradiction katika habari nilizoandika?
 
Do what you want as long as kinakupa furaha. Unakuta lidume halitaki ujirembe lakini nyumba ndogo zake na michepuko wanajiremba balaa. Ni wakati sasa wa kuwapuuza hawa watu.
 
Anyway...urembo ulitoka kwa ajili ya wasiokuwa warembo,kinyume chake ni kwamba ambaye ni mrembo wa asili hahitaji urembo wa bandia!
 
Hamjui kutumia urembo mnakuaga ka midori sometimes
 
Wambie
 
Do what you want as long as kinakupa furaha. Unakuta lidume halitaki ujirembe lakini nyumba ndogo zake na michepuko wanajiremba balaa. Ni wakati sasa wa kuwapuuza hawa watu.
Hatuna malengo na nyumba ndogo zaidi ya kugegeda tu uhangaike nae wa nini na akizingua una anzisha nyumba ndogo ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…