Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

Biashara ya anga, ni tofauti kabisa na ulivyofikiria,,,mashirika yanayofuata weledi kwenye kuyaongoza wanakuwaga na mpango wa biashara...na huo mppango ndio unaofuatwa.....kuangalia ni route zenye faida au hasara....inategemea na hub ya shirika...ukubwa wa nchi...uchumi wa nchi nk..mafano kwa nchi kama marekani domestic flights kwa shirika zinaweza zikawa na tija zaidi kuliko international flights kwa baadhi ya mashirika....hapa kwetu,,hi li nchi ni likubwa ....uchumi wa mbeya....mwanza....kilimanjaro...zanzibar ni mkubwa ukiweza kwanza kulitawala hili soko.....kulilink na destination nye ya nchi ni rahisi saana

Shirika lisipoingiliwa na wanasiasa,,,naamini after few years to come litavutia wawekezaji wakubwa kama mmiliki atapenda liuz
 
Huo Uchumi wa Mbeya unaodai Ni mkubwa, unatokana na nn?
 
ATC ilipata access ya kutua viwanja viwili india, Airport ya Chenai na Bengaluru na kulikuwa na flight ya China Guanzhou.
India ina watu 1.2bn na China ina watu 1.3bn. Kama sio covid 19 effect, bila shaka tungekuwa mbali zaidi. Haya masoko pekee, ni bonge ya biashara. Indians and Chinese are good in buz na travellers wazuri sana unlike africans. Wana high purchasing power na wana uwezo kumudu kulipia travel tickets.

Bado pamoja na Covid, ATC inaenda Nairobi, Ndola, Lusaka, Lubumbashi, Bujumbura;

Malawi ku-compete na ATC, mnyonge mnyongeni, ATC wanafanya vema unlike Malawi ya Chakwera
 
Ndola na Lubumbashi wameanza lini?
 
Nchi kubwa hii,
Ndege zinatembea vzr Tu hapa ndani na kuleta hela za kutosha, kwa nje wateja wachache labda mpaka tuanzishe safari za UK, China, na Marekani ndo kutakuwa na faida kutanuka ndani ya Africa
Hela za madafu! Hata mimi nazipiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…