Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Picha za nini sasa ? Za ndege au za destinations kule ambako ndege anadhani zingekuwa zinaenda? Kwa nini?Picha picha picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha za nini sasa ? Za ndege au za destinations kule ambako ndege anadhani zingekuwa zinaenda? Kwa nini?Picha picha picha
Zanzibar ndio description kubwa ya Utalii nchini. Tupewe chetu tujikataePicha za nini sasa ? Za ndege au za destinations kule ambako ndege anadhani zingekuwa zinaenda? Kwa nini?
Biashara ya anga, ni tofauti kabisa na ulivyofikiria,,,mashirika yanayofuata weledi kwenye kuyaongoza wanakuwaga na mpango wa biashara...na huo mppango ndio unaofuatwa.....kuangalia ni route zenye faida au hasara....inategemea na hub ya shirika...ukubwa wa nchi...uchumi wa nchi nk..mafano kwa nchi kama marekani domestic flights kwa shirika zinaweza zikawa na tija zaidi kuliko international flights kwa baadhi ya mashirika....hapa kwetu,,hi li nchi ni likubwa ....uchumi wa mbeya....mwanza....kilimanjaro...zanzibar ni mkubwa ukiweza kwanza kulitawala hili soko.....kulilink na destination nye ya nchi ni rahisi saanaWanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
Welcome to Malawi Airlines Official Website
www.malawian-airlines.com
Huo Uchumi wa Mbeya unaodai Ni mkubwa, unatokana na nn?Biashara ya anga, ni tofauti kabisa na ulivyofikiria,,,mashirika yanayofuata weledi kwenye kuyaongoza wanakuwaga na mpango wa biashara...na huo mppango ndio unaofuatwa.....kuangalia ni route zenye faida au hasara....inategemea na hub ya shirika...ukubwa wa nchi...uchumi wa nchi nk..mafano kwa nchi kama marekani domestic flights kwa shirika zinaweza zikawa na tija zaidi kuliko international flights kwa baadhi ya mashirika....hapa kwetu,,hi li nchi ni likubwa ....uchumi wa mbeya....mwanza....kilimanjaro...zanzibar ni mkubwa ukiweza kwanza kulitawala hili soko.....kulilink na destination nye ya nchi ni rahisi saana
Shirika lisipoingiliwa na wanasiasa,,,naamini after few years to come litavutia wawekezaji wakubwa kama mmiliki atapenda liuz
Twenzetu SauzHuko sio kwakwenda mkuu, tutafute chimbo jingine
Sauzi wakora wengiTwenzetu Sauz
ATC ilipata access ya kutua viwanja viwili india, Airport ya Chenai na Bengaluru na kulikuwa na flight ya China Guanzhou.Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
Welcome to Malawi Airlines Official Website
www.malawian-airlines.com
Ndola na Lubumbashi wameanza lini?ATC ilipata access ya kutua viwanja viwili india, Airport ya Chenai na Bengaluru na kulikuwa na flight ya China Guanzhou.
India ina watu 1.2bn na China ina watu 1.3bn. Kama sio covid 19 effect, bila shaka tungekuwa mbali zaidi. Haya masoko pekee, ni bonge ya biashara. Indians and Chinese are good in buz na travellers wazuri sana unlike africans. Wana high purchasing power na wana uwezo kumudu kulipia travel tickets.
Bado pamoja na Covid, ATC inaenda Nairobi, Ndola, Lusaka, Lubumbashi, Bujumbura;
Malawi ku-compete na ATC, mnyonge mnyongeni, ATC wanafanya vema unlike Malawi ya Chakwera
November 2021Ndola na Lubumbashi wameanza lini?
Ndola na Lubumbashi wameanza lini?
Mshapewa tayari unataka na samaki Sato wa MwanzaZanzibar tupewe mgao wetu kwenye hizo ndege. Kila mtu akapambane kivyake. Mambo ya kuja kulaumiana baadae hatutaki kwenye hizo ndege 11 sisi tupeni zetu 5 tutapambania Watalii waje Unguja
Hela za madafu! Hata mimi nazipiga.Nchi kubwa hii,
Ndege zinatembea vzr Tu hapa ndani na kuleta hela za kutosha, kwa nje wateja wachache labda mpaka tuanzishe safari za UK, China, na Marekani ndo kutakuwa na faida kutanuka ndani ya Africa
Asante mkuu na wewe pia!RIP Archbishop Emeritus Desmond Tutu
Madeni !!!Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
Welcome to Malawi Airlines Official Website
www.malawian-airlines.com
Kama domestic kunalipa huko nje kwa Kazi gani?We nae unaongea kama Kada? Sasa ndege 11 unang'ang'ana na Domestic ya nn? Ukinunua ndege ili usafiri Domestic?
Weka dataKama domestic kunalipa huko nje kwa Kazi gani?