Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao.

Toka hadharani tupigwe risasi 16. Sisi, mimi na wewe tu maJioga tunajificha kwenye ID fake hapa JF, tunamsakizia Mbowe!

Eti kalamba asali, mara hajasema lolote kuhusu tozo, umeme, maji na madhira tunayopitia. Ingia barabarani mimi na wewe na si Mbowe na Chadema wakati sisi majioga tupo hapa JF na fake ID

Mbowe kafungwa almost mwaka mzima kwa uonevu (wakaona aibu wakamtoa na kumuita Ikulu), kafilisiwa biashara zake, kanyimwa ubunge wa wazi na Magufuli/ Bashiru in 2020, and many many more atrocities he has suffered kutetea demokrasia, leo eti analamba sali!
 
Tunamsakizia Mbowe, na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran...
Watanzania domo kaya, hatuna ujasiri wowote. Mbowe kama kiongozi wa chama kafungwa karibia mwaka mzima, hakufurukuta wala kuandamana atolewe, sote tuliufyata, Lissu kadhalika alipigwa risasi 16, lipi tulifanya. Tuna maneno mengi, kutukana ovyo na kuwashushia lawama wengine
 
Tutoke barabarani,kwani na sisi tunapokea ruzuku Kama akina Mbowe!!??
Ona akii za watanzania! Chadema and Mbowe wametimiza wajibu wao wa kuongoza. Huyu kafungwa mwaka mzima kwa kuonewa, kafilisiwa biashara zake etc etc, Uoga wetu tukubali tunyanyaswe na CCM mpaka hapo Yesu atakaporudi.

Tuweke kumbukumbu sawa, Chadema haina ruzuku!
 
Anapokea ruzuku?Kwa hiyo akipokea(kama kweli)ndiyo akuwakilishe hadi kufa?
asante sana kwa kumjibu! eti anapokea ruzuku (by the way chadema walikataa ruzuku). Unaona akili za watanzania? mtu kafungwa mwaka mzima kwa kutetea demokrsia, halafu mtu na akili zake anajibu eti anapokea ruzuku. Anapokea ruzuku ili afe/akufie wewe?
 
Abadilishe fikra. Atafika anajikuna ukurutu.
 
Tunamsakizia Mbowe, na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lisu na Mbowe wafe peke yao...
Hahahaha hivi kwenye lile bomu alilolipua gaidi kule Arusha enzi za JK alikuwepo au alilitega tu akasepa? Hivi watoto wa mbowe huwa wanakuwepo kwenye maandamano.

Sasa hivi Mbowei yuko majuu kaenda kulamba asali ya wazungu hahahaha, naona kalamba ya bongo ya nyuki wadogo basi kaona aifuate na watasha.
 
Hahahaha hivi kwenye lile bomu alilolipua gaidi kule Arusha enzi za JK alikuwepo au alilitega tu akasepa? Hivi watoto wa mbowe huwa wanakuwepo kwenye maandamano. Sasa hivi Mbowei yuko majuu kaenda kulamba asali ya wazungu hahahaha, naona kalamba ya bongo ya nyuki wadogo basi kaona aifuate na watasha.
kama ni rahisi hivyo nawe nenda ulaya, kawafiche watoto wako......NIKWAMBIE KITU RAFIKI, angalau NAWE fanya kiasi alichofanya Mbowe. Weka identity yako hapa, jitoe muhanga, then rudi uandike, short of that wote tu MAJIOGA!
 
kama ni rahisi hivyo nawe nenda ulaya, kawafiche watoto wako...... IKWAMBIE KITU RAFIKI, angalau NAWE fanya kiasi alichofanya Mbowe. Weka identity yako hapa, jitoe muhanga, then rudi uandike, short of that wote tu MAJIOGA!
Huwezi nilinganisha na msaliti mbowe, gaidi kabisa lililodakwa likasamehewa na DPP tena siku akija rais mwingine lazima lifungwe maisha au kunyongwa kabisa gaidi kubwa. Sasa limelamba asali domo limezibwa kabisa utamu utamu tu wa asali hahahaha.
 
Hahahaha hivi kwenye lile bomu alilolipua gaidi kule Arusha enzi za JK alikuwepo au alilitega tu akasepa? Hivi watoto wa mbowe huwa wanakuwepo kwenye maandamano. Sasa hivi Mbowei yuko majuu kaenda kulamba asali ya wazungu hahahaha, naona kalamba ya bongo ya nyuki wadogo basi kaona aifuate na watasha.
Utaishia kuwasema watoto wa Mbowe wako ulaya wanalamba asali, watoto wako wapi au wewe unamzidi nini Mbowe.
 
Huwezi nilinganisha na msaliti mbowe, gaidi kabisa lililodakwa likasamehewa na DPP tena siku akija rais mwingine lazima lifungwe maisha au kunyongwa kabisa gaidi kubwa. Sasa limelamba asali domo limezibwa kabisa utamu utamu tu wa asali hahahaha.
Unateseka juu ya Mbowe ukiwa wapi Narung’ombe mwenzako yuko Washington DC.
 
Ona akii za watanzania! Chadema and Mbowe wametimiza wajibu wao wa kuongoza. Huyu kafungwa mwaka mzima kwa kuonewa, kafilisiwa biashara zake etc etc, Uoga wetu tukubali tunyanyaswe na CCM mpaka hapo yesu atakaporudu.
Tuweke kumbukumbu sawa, Chadema haina ruzuku!
Yaani kufungwa Mwaka tu ndiyo Mbowe analialia,!? Mwenzake Madiba alifungwa miaka 27 na alivyotoka akaendeleza mapambano hadi akawa Rais wa Africa kusini, Sasa Mbowe yeye anawaza tu biashara zake hayuko serious kupambania Watanzania kujikombowa!!
 
Hahahaha hivi kwenye lile bomu alilolipua gaidi kule Arusha enzi za JK alikuwepo au alilitega tu akasepa? Hivi watoto wa mbowe huwa wanakuwepo kwenye maandamano. Sasa hivi Mbowei yuko majuu kaenda kulamba asali ya wazungu hahahaha, naona kalamba ya bongo ya nyuki wadogo basi kaona aifuate na watasha.

Watoto wa mbowe wakiwepo kwenye maandamano itasaidia nini?
Hata kama unapigania watu fulani kuna mahali unachoka, haswa kama watu wenyewe ni mazuzu ,waoga, wanafki, hawachekew kukurudishia lawama wkt unawahangaikia.

Kama binadamu unachoka unaona ni bora ujioambanie maana unaowapambania wako usingizini
 
Yaani kufungwa Mwaka tu ndiyo Mbowe analialia,!? Mwenzake Madiba alifungwa miaka 27 na alivyotoka akaendeleza mapambano hadi akawa Rais wa Africa kusini, Sasa Mbowe yeye anawaza tu biashara zake hayuko serious kupambania Watanzania kujikombowa!!

Haaa nimecheka sana. Wewe ulishawahi kufungwa hata miezi 6? Una act kama vile una uzoefu na ufungwa?
stop that bullshit man, magereza hapozoeleki.
 
Yaani kufungwa Mwaka tu ndiyo Mbowe analialia,!? Mwenzake Madiba alifungwa miaka 27 na alivyotoka akaendeleza mapambano hadi akawa Rais wa Africa kusini, Sasa Mbowe yeye anawaza tu biashara zake hayuko serious kupambania Watanzania kujikombowa!!
Mtu mwingine kukupambania kujikomboa ndio ikoje ndugu?

Ule utegemezi wetu kwa viongozi kutuletea maendeleo, kutupigania wanyonge, tumeubeba Hadi huku kwenye kuzungumzia shida zetu.

Ruzuku ni kisingizio tu humu jukwaani wasomi walimlaumu shangazi kukaa kimya bei za mafuta ya kuendesha magari yao zilipopanda. Una gari la kuzunguka mjini kila siku lakini unajipa unyonge wa kumtegemea shangazi akusemee.
 
Back
Top Bottom