Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
CCM imewajaza Watanzania uoga kama watu wa North Korea. Hata maisha yawe magumu kiasi gani, watanung'unika lakini watavumilia. Enzi za Nyerere watu walivaa viraka, walilala njaa, walipanga foleni kununua sukari, vitu vingi viliadimika lakini watu walivumilia tu. CCM inajua fika inatawala taifa la waoga.