Tunaoendesha 'Baby Walkers' specifically za 660cc tupenae uzoefu wa hizi gari

Hongera japo ungeweza kutafuta pia Pajero Min au Suzuki Jimmy za cc 660 kwangu ingependeza zaidi
 
Mimi ninayo Suzuki jimny 658cc huwa natumia 12km/l
 
Share kapicha mkuu na price!
 

Bei yake iko plus na ushuru Wa forodha
 
vi-baby waker kama hivi ndo kwangu walau
 
Wenzako hua wanashindana muda wa kutoka speed 0-60 wewe unashindana muda wa kusimama kutoka 60-0,hahah no wonder zikaitwa "k" cars.
 

Niceeee
 
Nakumbuka nlikuwa na vits clavia kale kagari kalikuwa kananipa raha jamani...yani mafuta huwazi kbs...sasa hivi navuta kasi kabla ya mwisho wa mwaka huu ninunue IST kwa ajili ya mizunguko ya town maana haya magari makubwa yanatesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…