Una moyo sana.Nakumbuka nlikuwa na vits clavia kale kagari kalikuwa kananipa raha jamani...yani mafuta huwazi kbs...sasa hivi navuta kasi kabla ya mwisho wa mwaka huu ninunue IST kwa ajili ya mizunguko ya town maana haya magari makubwa yanatesa sana
Dah! nimeprove kweli we Zunde lililokubuhu unaelekea kuwa ndusa kabsaaaaaaaKati ya zunde na ndonga umezoea kulambishwa nini?
Dah kuna watu wana dharau mbaya.Kigari gani hicho ambacho hupeleki hata car wash! ukitaka kuosha unampa dada wa kazi anakimix na vyombo anakiosha then anakitia kwenye beseni.
Una moyo sana.
Kama home work kila siku distance ni ≥50km kwenda na kurudi, hizi babywalkers ndio mpango mzima. Gari 1L inaenda 8km halafu we kila siku ni 50-60km, salary yote itaishia barabarani.
Saivi una probox? [emoji23][emoji23]Nlikiwa na kimeo mja kabla ya hili ilikuwa ni aibuu maana nlikuwa nafanya kazi kununua petroli[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ila probox sio babywalker, ile ni van ya kupigia kazi. Labda IST ya nguvu mkuu..teh!!Babywalker on fleek[emoji1373][emoji1373]
kuna kitu inaitwa power. to weight ratio...so usizan cc ndogo ndo zinakupa fuel economy nzuri sana ..sababu when going uphill ka engine kadogo kanafanya kazi kubwa kuliko engine kubwa hivo rpm inakuwa juu na ndivyo ulaji wa mafuta hupanda....pil ameshasema gari ina turbo means sio nguvu ya cc 660 tena kama gari nyingne hapo unakuta gari inatoa hp za engine ya cc 1300 may be so tegemea ulaji wa mafuta kama gari ya cc 1300Hivi na sisi wenye cc 1500 tupo kwenye kundi la baby walker???
Mimi naendesha Nissan cc1500 highway napata mpaka 14 km per litre....
Sasa hiyo yako inkupa km 16 kwa cc 660 Nadhani itakuwa mbovu au service hufanyi kwa wakati
labda ungejifunza zaidi turbo ni nini na intercooler ni nn pia..afu uje u edit ulichoandikaKwa ninavyofahamu, turbocharger zote zinakuwa na intercooler. Kwani haina lile tundu kwenye bonnet?
Ukiwa unataka kusema uongo jaribu basi hata kuwa na details kamili ambazo zitafanania na ukweli......
Sasa wewe kagari kama Terrios Kid.....cc 660 kanamalizaje lita moja kwa kutembea km 13.5?!
Kwa hizo cc 660 kama ulikuwa haufahamu, hiyo gari ingeweza tembea hadi km 26+/litre na sio km 13.
Sasa wewe unatunga vitu halafu unakuja kutuambiaje hapa.....!
Ukiwa unataka kusema uongo jaribu basi hata kuwa na details kamili ambazo zitafanania na ukweli......
Sasa wewe kagari kama Terrios Kid.....cc 660 kanamalizaje lita moja kwa kutembea km 13.5?!
Kwa hizo cc 660 kama ulikuwa haufahamu, hiyo gari ingeweza tembea hadi km 26+/litre na sio km 13.
Sasa wewe unatunga vitu halafu unakuja kutuambiaje hapa.....![/QUOTE
details. za wap hizo terios kid iende km 26 kwa lita ... hamnaga tofaut ya gari za cc 1300 na za 660 tena usije ukanunua gari ya cc 660 kwa ajil ya kubana mafuta utakuwa umelost we nunua kama umekipenda tu na si vingne
..jf bhna ....ha ha kwa hiyo we unamdanganya mwenzako terios kid ina superchargerOkay. Hiyo nahisi ni supercharger. Maana turbocharger huwa inaleta hewa ya moto saana, ndio maana inabidi ipite kwenye intercooler kupozwa kidogo. Ila supercharger mara nyingi hazina intercooler, vile zinazungushwa kwa speed ya engine.
Sijamdanganya, ndio maana nimesema nahisi kutokana na maelezo yake. Ila gari dogo pia linaweza kufungwa supercharger...jf bhna ....ha ha kwa hiyo we unamdanganya mwenzako terios kid ina supercharger
Kujua kuhusu magari sio lazima umiliki gari. Japo kiukweli, kumiliki gari sio kiku kikubwa saana siku hizi kama ilivyokua enzi hizo.Ukija humu JF utadhani kila mtu ana gari, na unaweza ukaamini kila mwanaume wa Dar ana gari.
Any way, mimi bado natembea kwa miguu, daladala na boda boda ndio mbadala wangu, lakini naamini ipo siku nitamiliki gari, na kwa kuanzia babywalker ndio nitaanzia hapo. Hii mada humu inanigusa moja kwa moja.