Tunaoendesha 'Baby Walkers' specifically za 660cc tupenae uzoefu wa hizi gari


Well said mkuu.. na pia naendesha nakanyagia haswa boosting turbo sanah rpm za kutosha
 
..jf bhna ....ha ha kwa hiyo we unamdanganya mwenzako terios kid ina supercharger



Nlikutana na haya maelezo kwenye specifications mkuu naona wanasema ni supercharger maana kwa uelewa wangu mdogo me nliona imeandikwa turbo nkajua ni Turbo kawaida
 
Kuna mtu humu alikuwa anasifia ana crown majesta ina zaidi ya cc4000 halafu inaenda kilometa 19 kwa lita moja...ngoja nikuwekee link ya uzi
 
Hivi na sisi wenye cc 1500 tupo kwenye kundi la baby walker???

Mimi naendesha Nissan cc1500 highway napata mpaka 14 km per litre....

Sasa hiyo yako inkupa km 16 kwa cc 660 Nadhani itakuwa mbovu au service hufanyi kwa wakati
Hapana mkuu Boeing 747 wewe ushagraduate kutoka kwenye baby walker
 
Nakumbuka nlikuwa na vits clavia kale kagari kalikuwa kananipa raha jamani...yani mafuta huwazi kbs...sasa hivi navuta kasi kabla ya mwisho wa mwaka huu ninunue IST kwa ajili ya mizunguko ya town maana haya magari makubwa yanatesa sana
Yanatesa nini nokia83
 
Mkuu ni haki yako pia kusema hivyo, naomba gari moja tu inayotembea 26km/l ya cc 660, nimepitia nyuzi mbalimbali mtandaoni na nipo standard kwa matumizi ya mafuta ukizingatia pia nalikanyahia haswaa sio lele mamaView attachment 886808
Mkuu akikutajia hiyo Gari inayotembea 26km per 1 litre. Tafadhali naomba unitag.
 
mkuu vp kuhusu spea zake? kuna mtu alisema spea zake ni tabu kupata kwa sababu halitengenezwi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…