Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

Aiseee unanitisha ....ule mwili WA shishi ni night mare...
Protein nyingi naamini Haina madhara
Tafuta kitabu cha sayansi ya mapishi uta enjoy, mazoezi utafanya kidogo kwa ajili ya kuweka mwili fit tuu.
 
Mimi ni mwembamba napenda sana mazoezi na nafanya kila siku asubuhi siendi gym nina app ya home workout sasa matokeo yake kila mtu akiniona swali uwa ni dogo unaumwa mbona umekonda sana?

Najua kinachonikondesha ni mazoezi na chakula nafikiria kuacha mazoezi ila facts ni kuwa imekuwa part ya maisha yangu nikitoka bila push ups kadhaa naona siku yangu haijakamilika sasa nimeamua kuanza kupika mwenyewe ila nione kama nitagain weight ambayo itapunguza maswali.

Note nilikuwa na Kilo 58 sasa nipo kwenye 53
 
Naomba nisajestie walau aina tatu ya milo
Mwanzo ni mgumu ila unaweza kuanza na kupunguza vyakula vyenye sukari na mafuta.

Tuseme umefanya mazoezi asubuh hapo lazima uwe na njaa ya kutosha na kawaida mwili utalazimisha ule sana ushibe urudishie ulipotoa.

Kunywa chai na viazi au mihogo yani kwa kifupi epuka mafuta mafuta kama mandazi,vitumbua n.k

Mchana kula zako wali au ugali kwa wastani na mboga ya kutosha na usiku kula kidogo tu au unapiga zako matunda then ulale.

Pia hapo kati usisahau kula matunda ya kutosha na maji pia.

Kumbuka hii ni mwanzo tu kwasababu tulisema ukate vyakula vya sukari na mafuta mafuta kabisa.
 
Eeeh kama mfupi sawa ila kwa mrefu naona kama kilo chache hizo
 
Mm nitawaidia hapa nyimbo za kufanyi mazoezi hapa Kam watakuwa siriaz
 
Hapa ninachokiona mkuu ni balance ya chakula iwe ngazi ya wiki au mwezi mana chakula Cha aina yoyote mwilini kina sabab zake. Huwezi kuacha/punguza kula wanga unaozalisha glucose mwilini huko mazoezin Kuna siku utazimia tu
 
hapo naona umemwambia ale wanga tena asubuhi kitu ambacho sio sahihi
 
Hapa ninachokiona mkuu ni balance ya chakula iwe ngazi ya wiki au mwezi mana chakula Cha aina yoyote mwilini kina sabab zake. Huwezi kuacha/punguza kula wanga unaozalisha glucose mwilini huko mazoezin Kuna siku utazimia tu
Ofcoz unapofunga au unapoacha wanga haushauriwi kufanya vigorous exercise, ni mazoezi moderate kama vile kutembea,
Kuhusu swala la wanga sina uhakika lakini Hossain Bolt mkimbiaji maarufu hatumii wanga ye ni fruits and vegetables only, na record zake zinajulikana
 
Karibu saiti ubebe tofari utapungua wiki 1 nakuahd dada yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…