Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

Kama huwezi kufuata formula ya chakula basi jiandae kuwa kibonge mwepesi, kupungua au kuongezeka kwa mwili inaangaliwa ratio ya chakula na mazoezi yako na si mazoezi pekee. Mlo ndiyo utakaoamua wewe uwe mnene au mwembamba
 
Umempa ushauri wa wazi.



Afuate au aache
 

Siri kubwa sana hii hapa nakupa dada wa Kimasai 😁😁😁

 
Wale wenzetu hawali kutwa mara 3 kama sisi. Na mm nimeanza hiyo campaign. In African context, especially Tanzania watu wanakula katika mifumo ya fixed table... Hawa wakati wa kushauriwa usi'ignore' tamaduni yake
Ofcoz kula kutwa mara 3 heavy meal ni common kwetu, lakini pia ni uamuzi hiyo milo mitatu ukaigawa katika little portions at least 5 au sita, say after every to hour you eat an health snack be it kipande cha parachichi, ndizi, nuts etc.
Kwenye uvegan ukila mara 3 kwa siku utajitesa little portions is the good option
 
Niambie basi unakula..nini yaani na gather info Kwa kweli nipo siriaz na jambo hili....
Naaid nitashare picha ya before and after

Siwezi kukutajia vyakula moja Kwa moja ila unabidi ujitahidi kusoma aina ya vyakula

Mlo wako unatakiwa uwe na virutubisho vyote na kutokana na uchumi wetu watanzania hatuwekeani limit maana utaacha kula ugali unaoupata , ila chakula chako kisikose matunda na mboga mboga - na unatakiwa unywe maji lita 2-3 kwa mtu mzima ila iwe hasubuhi na mchana tunahepuka kwenda chooni kila mara Kwa kunywa maji mda wa usiku

Unatakiwa ule mda maalum,Mda wa kula pia uzingatie hautakiwi kula kila wakati au unapojihisi njaa tu ndio hapo hapo ulee, pia hepuka vyakula vya kukaanga mfano chips, maandazi nk

Nyakati za usiku hautakiwi ule na hapo hapo ukalale hapana- unatakiwa baada ya kula uwe active masaa 2 mpaka 3 ndio ukalale

Kwa kuanza mazoezi unaweza kuanza kutembea dk 30 mpaka 60- yaani lisaa limoja kama hautoweza kukimbia hautakiwi kujichosha sanaa utapunguza mwili kidogo kidogo
Mazoezi hasubuhi na jioni unabidi ulazimishe upate mda wa kufanya mazoezi usikose kufanya mazoezi
 
Mazoezi yanaendana na chakula ila kama unataka kupungua ni swala la kupunguza kula

Trainer nipo hapa.
 
Na maji ya kutosha
 
Sawa sawa.....Asante sana nimesoma between the lines
 
Walahi hutoboi.Yaani nidham ya kula ndio Kila kitu,mtu ulikuwa una kunywa uji kikombe kimoja ila ukipiga tizi utapiga vinne na Bado unataka upungue,Kwa kweli huo muujiza haupo.
Uko sahihi asilimia zote na point vyakula ndo Kila kitu,Mimi nilikua na 80 na kitu hukooo watu wananishangaa nikaanza kujitune kwenye vyakula Tena vile vile vyakula vyangu ninavokula ila nilipunguza kiasi kikubwa nilifika mpk 65kgs sometimes nilikua usiku nakunywa maji mengi na nanasi ,au embe au tunda lolote la sukari lile!
Sikuwahi kukimbia Wala kwenda gym yoyote Wala mazoezi ni mlo TU Baasi mwili unapungua wenyewe
 
Anatoboa tu mke wangu anakula kila chakula ila nafanya naye mazoezi nyumbani yupi fit no kitambi
Walahi hutoboi.Yaani nidham ya kula ndio Kila kitu,mtu ulikuwa una kunywa uji kikombe kimoja ila ukipiga tizi utapiga vinne na Bado unataka upungue,Kwa kweli huo muujiza haupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…