Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Sina Shida na Magufuli nina shida na watendaji wake Alikuja Makame Mbalawa Gairo akatudanganya tarehe 15/11/2019 mradi wa maji ya visima virefu vilivyo tumia Mabilioni ya pesa na Mabilioni ya nyongeza utakuwa umekamilika mpaka leo Tupo 2020 imekuwa Historia na hili analijua hataki hata kufuatilia umekwamia wapi. So sina Shida na Magufuli ni mchapakazi tatizo watendaji wake.
 
Acha Ujinga wewe, Hapo ulipo Wazazi wako wanaishi kwa umasikini mkubwa sana kule kijijin, Zahanati walienda wanaambuli Panadol pekee, Vitu kama Chai ni anasa kwao. Acha ujinga sana wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamtenganishaje JPM na watendaji wake ambao wengine ni wateuzi wake? Na yeye atakuwa na tatizo na kubwa zaidi hawataki kuweka mfumo sahihi wa kiutendaji, kutwa inabaki show ya mkulu tu..
 
Haisaidiii maana walikonaye ni mamilioni

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlikimbia naona mnampango wa kukimbia na huu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule mradi soon maji yatatoka usiwe na hofu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Time huru ya uchaguzi
Equally participation of all contestants kwenye campaigns
Waanaglizi huru wa uchaguzi kutoka nje
Muda sawia wa campaigns
nakuhakikishia saa sita mchana tu ccm itakuwa imeshaaga dunia kifo Cha mende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…