sadi msita
Member
- Mar 10, 2013
- 30
- 24
Sina Shida na Magufuli nina shida na watendaji wake Alikuja Makame Mbalawa Gairo akatudanganya tarehe 15/11/2019 mradi wa maji ya visima virefu vilivyo tumia Mabilioni ya pesa na Mabilioni ya nyongeza utakuwa umekamilika mpaka leo Tupo 2020 imekuwa Historia na hili analijua hataki hata kufuatilia umekwamia wapi. So sina Shida na Magufuli ni mchapakazi tatizo watendaji wake.