Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Lol labda tumuulize mtoa mada kwamba yeyw ilikuwaje hadi akaamua kuwa mwalimu
Huyu ilifaa awe mama wa nyumbani na hata maelezo yake unaona "anatamani muda wake autumie kulea watoto wake"

Sasa mahaki sawa 50/50 yakamsomba na yeye akalipuka nayo mazima kama walivyomjaza masumu. Alitaka asije "kubabaishwa na mume" cha ajabu hata huyo mume hajampata.
 
Waalim wengi wana msongo wa mawazo. Hii inatokana na kile walichokitegemea kupata kutoka kwa mwajiri kuwa tofauti au pia wengi wamejiingiza kwenye mikopo ambayo inakuja kumaliza ile take home.

Pia mahusiano nayo yanaweza kukutesa, unakuwa na mtu ambaye pia hajishughulishi zaidi ya kukutegemea wewe.

Hatujui mleta mada yuko age ipi, pia kumshauri aache kazi aingie ujasiriamali siyo wote wenye majaliwa ya biashara.

La muhimu tu pigania ajira yako.

Jitahidi pia kupika vitu vidogo vidogo kama karanga, tambi, ufuta, sabuni za maji nk ili uwe unaokota hata mia mia.

Jiamini wapo wenzio wanahaha kupata hata hiyo ajira
 
Nikurekebishe kidooogo, sio hao waalimu tu, mwanamke yeyote hata awe CEO ila akikosa kupendwa na kuhudumiwa lazima achoke maisha.

Mwanamke kiasili hapati furaha na amani kutokana na cheo, fedha etc. Mwjnamke apaswa kupendwa, kulindwa na kuhudumiwa. Mtoa mada anateswa na upweke ambao ni zao la feminism na maharakati ya 50/50 yanayoharibu hulka na adabu zenu

Wako wanawake wengi maosifini wenye vyeo vya maana ila wanatembea kama mazombie tu, hawana furaha yoyote kama mtoa mada.

A woman's satisfaction is being loved and admired while a man's satisfaction is being successful, needed and providing sasa wanawake wa kileo mmelishwa sumu mnadhani mavyeo yatawapa furaha mnakuja kugundua vinginevyo kama mtoa mada.
 
Ameolewa mbona
 
to yeye
Ni kweli kuwa feminism inakutesa pamoja na loneliness? Huenda bwana unpaid seller akawa na hoja kama amepatia katika kukuongelea.
 
Ameolewa mbona
Nice guess kama kaolewa, then ni ndoa ile ya ngi ngi ngi, usinibabaishe, kama kusoma na mimi nimesoma full mitifuano bampa to bampa.

kuna sehemu anasema "kachoka kua kwenye mahusiano" well lets digest that, shall we ?! mwanamke anayependwa na kujaliwa hawezi kuchoka uhusiano, na kwanini hapendi booom !! back to spuare one ujuaji mwingi mixa jeuri. Hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu.

Kuna uzi niliandika Elimu na pesa vikiwa kwa mwanamke, heshima hukosa nafasi kwake. (Wanawake wengi wakipata vijiajira huota mapembe)

Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi
 
My dia una sound too negative kwa jinsia ya ke...

Nini kimekupata?
 
Pole.watoto wanakuhitaji zaidi.usifikirie mengine
 
Pole.watoto wanakuhitaji zaidi.usifikirie mengine
Unaona Nakadori wanawake by default mko wired kulea huo ndio wito na eneo lenu la umahiri na huko ndio kwenye furaha na amani ya kweli ya mioyo yenu. Huku kujifanya marais ni kujilisha upepo. hampapata amani wala furaha kugombania vyeo huku watoto wenu wakilelewa na mahouse girl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…