Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Mungu akutie nguvu mpenz.... Unahitaji kuendelea kuishi kwa sababu ya watoto na wao ndio wapenzi wako wa kweli........ Unatakiwa uendelee kufanya Kazi na kupambana kwa sabb Kazi ndo baba na mama yako kweny shida, kweny raha...... Endelea kumuomba Mungu pia ulinzi na afya...... Bila kusahau ukipata muda wa kupumzika pumzika itakusaidia kujihisi vizuri
 
Pole muombe sana Mungu akusaidie maana nahisi una hali mbaya,tafuta na mtaalamu wa depression akusaidie.
 
Kha kumbe mapenzi nayachosha hivi.
Aise sasa kama vipi njoo basi nikupe mtaji uanzishe biashara unayotaka.
 
Asante sana na ubarikiwe sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…