Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Ni wakati sasa wanasaikolojia wafungue vituo/centers kwa ajili ya ushauri wa kitabibu hasa katika afya ya akili. Wengi tunakuwa na vipindi vya namna hii, you think the weight of the whole world is on your shoulders.

Hauko peke yako, ni wengi tunapitia hali hii. Just yesterday kazini kuna jamaa alianzisha hii mada, akajumlisha na inflation iliyopo, unaona kabisa depression is kicking his ass..
 
Pole sana to yeye usichoke kuishi.Uhai ni dhamana takatifu,naye ni Mungu pekee anayetuwezesha kuutunza na kuutumia kwa utukufu wake.

Kuna watu wanapitia majaribu makubwa ukisimulia unasema yangu cha mtoto.Jifunze kuachilia moyo wako,love yourself first,enjoy, pray and be happy.
 
Kati ya nyimbo nazipenda sana hii ni moja wapo uwa natamani kila jmosi kabla sijatoka church niusikie nyingine ni,
3.Mungu atukuzwe
14.Nitembee nawe
80-Tupe moto wa uhai
85-Salama tumepita
131-Baba anilinda
143-Naamini.
Barikiwa sana mjoli.

Kuna huu unaitwa,
"Sioni Pa Pumziko". Nadhani unapatikana kwenye vitabu vikubwa tu.
Tuna nyimbo nzuri sana.
 
Barikiwa sana mkuu
 
😔yaan acha tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…