Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

sina maana ya kukupinga ila wengi wenye hali hii hata hela ya kulipia huduma utakayokua unatoa kwenye ivyo vituo bado itakua ni shida.
 
sina maana ya kukupinga ila wengi wenye hali hii hata hela ya kulipia huduma utakayokua unatoa kwenye ivyo vituo bado itakua ni shida.
Nalo tatizo mkuu. Sema wataalam waweke affordable consultation fee coz hapo kuna wanapitia magumu japo uchumi uko poa, na wanaopitia magumu kwa sababu ya kubanwa na uchumi mbovu.
 
Nilipitia changamoto unayopitia, Ila nikwambie tu kila kitu kinaanza within you, Una uwezo wa kuattract unachokitaka.....ushauri wangu anza kujibadilisha wewe, jipende, penda ngozi yako, itunze, tunza nywele zako, vaa upendeze, always put a smile...hata Kama huna sababu ya kusmile! Pia kabla hujaenda kazini hakikisha umetandika kitanda chako, tena kitandike vizuri Kama cha hotel.

Anza na hayo uone mabadiliko
 
Asante sana love
 
Au tatizo ni mikopo

Ila ambao tumechoka kuishi ni wengi ila usiendekeze uvivu wa kuchoka kuishi.

Pole sana na mahusiano,hili wanawake wengi sana linawakuta
Kuna dada angu mmoja aliwah kuhangaika na mahusiano mpaka nikawa namshauri atafute mwanaume ambae hana kitu amuoe ili apate amani ya moyo maana huyu dada angu alikuwa anatumia nguvu nyingi sana ili apate wanaume wazuri wenye vipato kuwa nao ila ndo wakawa hawatulii hadi pesa na mikopo alikuwa anawakopea lakin wapi ila tunamshukuru mungu sahv kapata mwanaume mwenye taaluma kama yako wanaendesha maisha ingawaje kajamaa kamemwachia karibia kila kitu mpaka watoto wa kenyewe dada anatoa ada
 
Ni shida sana yaan
 
Kuchoka ni hali za kibinadamu
Hata Mungu alietuumba nadhani anafahamu.
Ndo mana kuna mahala wameandika "Roho i radhi ila mwili ni dhaifu sana"
Kuchoka sio kosa, songa mbele tafuta maana ya maisha. Ndio maana wazungu wana Vacation tena hasa za mbugani ili kurenew ubongo maana mambo yale yale kila siku kwakweli yanachosha
 
Hakika
 
Qmamae feminist limechoka, si mnapigamia 50/50 sasa umechoka nini kafanye kazi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…