Wimbo # 174. Heri kumjua Yesu, Bwana
Yesu hasaidii chochote keshasema , Mimi mwenyewe siwezi fanya lolote, Yohana 5:30
Wimbo # 174. Heri kumjua Yesu, Bwana
You mean yupo Kizimkazi kimakazi na kikazi!!?Yupo Kizimkazi anachapa kazi
Wewe mpemba unashida gani? Watu wanauliza Yuko wapi mama wewe unaleta habari za wakenya hapa au ubongo wako Hauna tofauti na urojo?Write your reply...nyie makenge wa chadema nendeni kenya mkamtoe mme wenu boniface mwangi kakamatwa kwa ugaidi nyie mmejikausha na yule bibi yenu sarungi nae tayari anarudishwa bongo
Atoke aende wapi, Magomeni au Kariakoo? - Mzee wa Kokoto kutokea RuangwaAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi alipo rais wetu
Asanten sana
LONDON BOY
Daslam magogoni pamoja na IdodomyaKwani Rais ofisi yake ni wapi?
Chamwino, Dodoma.Kwani Rais ofisi yake ni wapi?
Leo ni siku ya ibada, mtafute kwa majumba ya ibada, huenda ukamuona humo.Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi alipo rais wetu
Asanten sana
LONDON BOY
Tujiunge na wenzetu wa Kizimkazi kuwaletea matangazo ya moja kwa mojaAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi alipo rais wetu
Asanten sana
LONDON BOY
Chunga kauli zako.Alichaguliwa na nani??? Yule ni Mali ya JK