Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

Write your reply...nyie makenge wa chadema nendeni kenya mkamtoe mme wenu boniface mwangi kakamatwa kwa ugaidi nyie mmejikausha na yule bibi yenu sarungi nae tayari anarudishwa bongo
Watu wanaulizia alipo kiongozi mkuu wa nchi, wewe na akili zako mbovu unaingiza mambo ya Chadema, nyie ndio wahaini ambao serikali ya Daktari Samia inatakiwa kuwashikisha adabu.
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia

Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana

Kwaamaana October tunataka kutic

Ni wapi alipo rais wetu

Asanten sana

LONDON BOY
Hahahahahaa sijawahi kuamini kuwa kuna siku Tutasema BRING BACK OUR.......
 
Hii weekend mwache acheze na wajukuu, dunia yetu inakamilishwa na familia zetu na sio wanokupenda kwa sababu ya nafasi.
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia

Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana

Kwaamaana October tunataka kutic

Ni wapi alipo rais wetu

Asanten sana

LONDON BOY
Mtatiki tu msijali, ngoja kiendelee kuumana.
 
Back
Top Bottom